Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia pikipiki.

Kimbembe wakati wa kurudi nisaidieni usafiri mzuri wa kuipakilisha pikipiki yangu TVS. Wajuzi wa kago tafadhali kesho natakiwa kurudi iringa.
 

Attachments

  • IMG-20241005-WA0038.jpg
    192.6 KB · Views: 28
Tuwasiliane 0787634634
 
Nakushauri ushuke kwanza hapo kibo mataa, kuna vyuma vimesmama saana aina zoote, mwambao wa kanisa la gwajima pote hum vyuma tu, na uzur ukichukua maeneo hayo utapata na usafir wa malori ni mwngi saana

Mbagala pia kuna chmbo moja lipo karb na kizuiyan kambi ya jeshi nalo uhakika, ila kuwa makin usje chukua inayotafutwa🙏
 
Nd
Nenda keko msikitini zinakopaki gari za iringa utakutana na gari nyinyi sana
 
Kampuni za mwanapunda uhakika
Mdanganye aingie mzima mzima apigwe za uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…