Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

Sasa nikinunua pikipiki zakhiem napakilisha wap
TVS unaisafirisha kwa lori! Anza safari saa 10 alfajiri saa 1:30 uko Morogoro, saa 4:00 uko Mikumi mjini. Saa 7:00 uko Kitonga, hapa hauna deni umemaliza milima yote Iringa hiyoo! Unapiga mdogomdogo unabeba abiria wanaoelekea upande wa Iringa tu mpaka maeneo ya Ilula unamtafute Rasta akuchekie oili ukiweza mwaga yote weka mpya, hapo sasa taratibu hakikisha saa 1:30 unaingia Iringa giza watu wasikuone wasije wakakuroga uwashitukize asubuhi unakisafisha na kukipiga polishi, mwisho unamalizia kwa kukikamulia ulanzi mkangafu kukipongeza kwa ujasiri wake na uaminifu kwa kukufikisha salama.
 
Siku hizi huduma za LATRA kwa pikipiki na Bajaji ni online (kama ilivyo kwa Magari) hupati huduma kama una kadi FEKI maana mfumo umeunganishwa na TRA, Dar ujanja ni mwingi but kila lakheri.
 
Unapata fresh,pale opposite na eneo la TPDF,wanauza pikipiki kuanzia laki 3
 
Kuwa extra careful 😃 ukiweza nenda na raia wengine kama wanne hivi 😃 just incase
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…