Naenda Hungumalwa. Naomba kuelekezwa lodge yenye mabinti wazuri

Naenda Hungumalwa. Naomba kuelekezwa lodge yenye mabinti wazuri

Sidhani kama kuna Lodge pale...pale ni kijijini. Labda uombe ukalale kwa mwenyekiti wa kijiji. ze jj
Inaweza ikawepo moja japo sina uhakika ila kwa kupita pita hiyo njia, kwenye hizo centre kubwa kubwa huwa kuna hotel moja barabarani kuanzia Mabuki, Hungumalwa, Mipa mpaka Maganzo
 
Back
Top Bottom