Naenda Kanisani lakini naenda kwa Shekhe kuloga ili mambo yangu yaende sawa

Naenda Kanisani lakini naenda kwa Shekhe kuloga ili mambo yangu yaende sawa

WATU wanakosa uelewa wa mambo humu!!

Huyo shekhe anamuomba nani si huyo MUNGU!?

Yaani anasoma quran na kukipa dawa za kuweka sehemu ya Biashara yako kama Wewe upewavyo dawa hospitali ukiambiwa inatibu ugonjwa huu na ule!!

Dawa nyingi tunazokunywa ni mchanganyiko wa matunda magome na mizizi ya miti ambayo malaika waliwafundisha adamu na Hawa Baada ya kufukuzwa pale eden!!!

Someni kitabu cha henoko (Book of Enoch)

Wakristo wengi wamechanyanyikiwa hawajui ni wakati GANI wa kutumia mitishamba na kuomba!

Hata ulimwengu wa agano la kale ulitawaliwa na dawa za asili na kufukizwa!

Hayo tu
 
Back
Top Bottom