Naenda Tanga kuoa

Dj tunaomba kibao cha 20 percent, tamaa mbaya.
 
Ndio maana nimekuja humu,kitu kama hujui unauliza ujue unaanzia wapi.
Nakushauri kama unakwenda kutembea sawa, ukimaliza likizo lipange hili jambo lako vizuri sasa na ulipe muda usikurupuke mkuu, ukikosea kuchagua mke basi umeharibu mambo mengi ya msingi.
 
Jindaye tu ma shughuli, maana wanawake wa huko kwa shughuli kila siku sale za vijora, bethday ndiyo bethday[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…