Naenda Tanga kuoa

Naenda Tanga kuoa

Habari wadau, i hope wote mpo poa sana.Mimi ni kijana wa miaka 28,mkazi wa dar es salaam.
Nimekuja humu kuonba muongozo wa kwenda kuoa Tanga,nimeamua kwenda huko kutokana na nimechoka kuishi mwenyewe na mademu huku wa dar naona wazinguaji na mimi binafsi sipendi kusumbuka na kubembeleza sana.Huko tanga sina mwenyeji wala sijui kwa kuanzia.Nina liziko ya wiki kufanikisha hilo.Nipo serious.
Dj tunaomba kibao cha 20 percent, tamaa mbaya.
 
Ndio maana nimekuja humu,kitu kama hujui unauliza ujue unaanzia wapi.
Nakushauri kama unakwenda kutembea sawa, ukimaliza likizo lipange hili jambo lako vizuri sasa na ulipe muda usikurupuke mkuu, ukikosea kuchagua mke basi umeharibu mambo mengi ya msingi.
 
Jindaye tu ma shughuli, maana wanawake wa huko kwa shughuli kila siku sale za vijora, bethday ndiyo bethday[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom