Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ukikutana na hiyo changamoto utafanyajeShindwa na mawazo yako mabaya kwani wa wapi ndo hawacheat?
Horohoro hadi panganiWadigo wanapatikana wapi? Nianzie wapi?
Hata hayasemeki kwakweli..Hahah mwamba kajipa likizo ya wiki kwenda Tanga kuposa na ndoa juu arudi na mke Dar maisha yaende!!!
Kwa ndoa za hivi yatakayomkuta akiyasimulia kwa watu nani atatamani kuishi kinyumba na mwanamke sembuse kufunga nae ndoa?
Hahah mwamba kajipa likizo ya wiki kwenda Tanga kuposa na ndoa juu arudi na mke Dar maisha yaende!!!
Kwa ndoa za hivi yatakayomkuta akiyasimulia kwa watu nani atatamani kuishi kinyumba na mwanamke sembuse kufunga nae ndoa?
Ukikutana na hiyo changamoto utafanyaje
Wengine wanapigana na kutoana menoKwani ndoa nyingine wakipata changamoto wanafanyaje?
Wengine wanapigana na kutoana meno
Si kuna bar nyingi tu huko au? Siku moja inatosha kupata mke na kuoa,sita zilizobaki anakula nae bata, af zikiisha anarudi nae Dar. Biashara kwishaAnataka kwa wiki moja apate mke.Hapendi kuwa na matumizi mabaya ya likizo ya wiki moja.Ingawa,hana mwenyeji aendako/hajui aendako.
Ukimfumania, ameleta njemba hapo nyumbani kwako, utafanyaje?Hao ni wengine ila kuna njia nyingi za kutatua changamoto….after all mimi nimeelimika siwez piga mwanamke
Nafikiri HAJEES, TAHMEED , SIMBA MTOTO na SHAMBALAI unazijui wahi mapema.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Usijaribu kuoa mwanamke mnene.Akikonda utasimangwa kwamba unamtesa.Inatakiwa aje anenepee kwako.Kuna huyo. Vipi, umo?
Wa bar wengi huwa si wenyeji wa mkoa husika.Utajikuta umemfuata aliyekuwa mkoa uliotoka.Si kuna bar nyingi tu huko au? Siku moja inatosha kupata mke na kuoa,sita zilizobaki anakula nae bata, af zikiisha anarudi nae Dar. Biashara kwisha
Subhanallah!Wanatakasa hadi mitaro?Mola awalinde!🙏Kulambwa hadi kipumlio, si unawajua Watanga hawana dogo?🤣🤣🤣
Kuchapiwa ni siri ya ndani,km mabinti nendaaa muhezaaUkimfumania, ameleta njemba hapo nyumbani kwako, utafanyaje?
Si kuna bar nyingi tu huko au? Siku moja inatosha kupata mke na kuoa,sita zilizobaki anakula nae bata, af zikiisha anarudi nae Dar. Biashara kwisha
Mashaulaaah mie nataka toto la kizenjiIkifika zamu ya wanaotaka kuoa Zanzibar mtaniambia niwape muongozo
Salalee wale watoto wako devoted kwenye mapenzi.Subhanallah!Wanatakasa hadi mitaro?Mola awalinde!🙏
Aiseeee?Kwa hiyo inakuwa "igugu lethu"?Salalee wale watoto wako devoted kwenye mapenzi.
Mbaya zaidi naskia siku hizi wanatembea na kondom za kuvalisha vidole, wakati wewe unam pump yeye naye anakuingizia kidole...ufirauni ulioje arghhh