Naenda Tanga kuoa

 
Ni rahisi Sana kupata uwezi amini.... Fika korogwe au lushoto.... Ulizia ( watu wenye magenge au bodaboda) jifanye unamtafuta mtaalam wa kukurekebishia Mambo yako... Utapewa simu yake au utapelekwa.... Ukipata access yake mwambe shida yako mkumbushe kuwa shughuli yake inamkutanisha na watu wengi na wanamweleza shida zao, mhaidi zawadi nono.. Ndugu hutaamini sampuli za kutosha utazozipata.. Ila kuwa makini na wasichana jirani na korogwe mjini wengi wamezalishwa.... Hakikisha unaingia ndani kidogo angalau 25km kutoka mjini...... Utakuja nishukuru
 
Kumbuka waislamu
Sio ukweli waislamu wapo na wakristo wapo..... Mfano lushoto mjini wakristo wengi tu Ila ukisogea mlalo wengi ni waislam..... Kologwe ,msambiasi, kwa masimba, bungu, ambangulu na kwingineko wakristo wengi tu wakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…