Wapi imeandikwa Israel hapo mkuu? Unaweza nionyeshaMungu alimwahidi Ibrahimu akisema: “Nitawabariki wakubarikio, na atakayekulaani nitamlaani” (Mwanzo 12:3). Kauli hii haikubaki historia tu, inajidhihirisha mpaka leo kwa mataifa na watu binafsi.
Imebarikiwa kivipi wakati vita kuu ya pili iliikuta marekani imeshakua super power!! Unaijua Marshall plan wewe? Little boy na Fatman? Zote hizo zinaonyesha USA alishakua advanced kabla hata Israel haijaundwa. Tokea hapo USA imekua ikipata utajiri kupitia kuanzisha vita holela, kupora rasilimali, kufadhili ugaidi na mapinduzi n.k sasa kama Mungu anabariki taifa litahitaji kweli kutumia mbinu za kimafia kupata utajiri?Marekani ni mfano wa taifa la watu waliobarikiwa kwa sababu wanaiunga mkono Israeli.
Upotoshaji nchi kibao zilizounga mkono vita ile kama Saudia mbona ni matajiri wa mafuta leo hii? Qatar inaingiza mabilioni ya gesi, Libya iliilaani Israel ila ilikua tajiri mkubwa wa mafuta mpaka ilipokuja kuvamiwa na wazungu!! So sio kweli kuwa walioilaani basi ndio wamepotea otherwise middle east ingejaa nchi maskini tu!!Mataifa yaliyoishambulia Israeli mwaka 1967 wakati wa Vita vya Siku Sita ni mfano mzuri wa madhara ya kuilaani au kuipinga Israeli
Gwajima anaiombeaga kila jumapili vipi mbona kanisa lake limefungiwa na hatujaona chochote kimetokea? Same to Ruto ni pro israel mbona nchi imemshinda na imejaa mikosi tu?Wakristo wa mataifa mbalimbali, wale wanaoomba kwa ajili ya Yerusalemu na kuiunga mkono Israeli mara nyingi hushuhudia baraka binafsi
Waambie wazitumie kutafuta mateka!! Maana mwanawasifia kwa ujasusi ilihali kuokoa tu mateka kwenye kaeneo kama mbagala imewashinda.Habari za hivi punde kutoka katika taifa hilo zinasema, Israel imefanikiwa kurusha satelaiti mpya ya kijasusi angani, hatua ambayo itaimarisha kwa kiwango kikubwa uwezo wake wa upelelezi katika eneo la Mashariki ya Kati. Kwa mujibu wa maafisa wa Israel, satelaiti hii inaweza kupiga picha za vitu vidogo hadi ukubwa wa sentimita 50, mchana na usiku.
Wapi ilipoandikwa kwamba ukiibariki Israel utabarikiwa kwenye huo mstari alioweka wa Mwanzo 12:3Upo sahihi mtumishi 100%
Mimi sio MTU wa arguments mkuuWapi ilipoandikwa kwamba ukiibariki Israel utabarikiwa kwenye huo mstari alioweka wa Mwanzo 12:3
Asee, kuna watu wako serious na mambo ya Mungu. Huyo sijui ni meneja, ameweka mpaka bendera ya Israel ofisini?Mungu alimwahidi Ibrahimu akisema: “Nitawabariki wakubarikio, na atakayekulaani nitamlaani” (Mwanzo 12:3). Kauli hii haikubaki historia tu, inajidhihirisha mpaka leo kwa mataifa na watu binafsi.
Marekani ni mfano wa taifa la watu waliobarikiwa kwa sababu wanaiunga mkono Israeli. Tangu kuanzishwa kwa Taifa la Israeli mwaka 1948, Marekani imekuwa mshirika wake mkuu. Matokeo yake, Marekani ni taifa lililoinuka kiuchumi, kiteknolojia, na kijeshi kuliko mataifa mengi. Hata pale changamoto zinapokuja, bado Marekani imeendelea kuwa na nguvu kubwa katika dunia. Hii ni ishara ya wazi kuwa Neno la Mungu ni kweli na halibadiliki.
Mataifa yaliyoishambulia Israeli mwaka 1967 wakati wa Vita vya Siku Sita ni mfano mzuri wa madhara ya kuilaani au kuipinga Israeli. Katika vita hivyo, Israeli ilishinda majeshi ya nchi nyingi kwa siku chache tu, na hadi leo mataifa hayo bado yanahangaika kisiasa na kiuchumi. Mashirika na viongozi wa kigaidi wanapata uharibifu mkubwa, kila mara wanapoinua mikono yao dhidi ya Israeli. Badala ya mafanikio, wamekuwa wakipata maangamizi na kupoteza uhalali mbele ya dunia.
Wakristo wa mataifa mbalimbali, wale wanaoomba kwa ajili ya Yerusalemu na kuiunga mkono Israeli mara nyingi hushuhudia baraka binafsi: maendeleo, mafanikio ya huduma, na ulinzi wa ajabu wa Mungu. Ndio sababu, wengine hata katika ofisi zao, wanaweka bendera ya Israeli, kuonesha kuwa wanaibariki nchi hiyo.
View attachment 3465015
Acha kujikomba. Israel yako ina baraka gani zaidi ya laana tupu? Nawe ulaaniwe kama Israel yako nyambaffMungu alimwahidi Ibrahimu akisema: “Nitawabariki wakubarikio, na atakayekulaani nitamlaani” (Mwanzo 12:3). Kauli hii haikubaki historia tu, inajidhihirisha mpaka leo kwa mataifa na watu binafsi.