Israel, as a nation, still operates under the Old Covenant principle of ‘an eye for an eye, and a tooth for a tooth.’ This means that any aggression against them inevitably provokes a proportionate, and often overwhelming response. Hamas initiated hostilities, and what you are witnessing now is not unprovoked brutality, but retributive justice consistent with that ancient law. Therefore, striking Israel comes with the sobering expectation of being struck back with even greater forceIsrael is comitting genocide in GazaView attachment 3465116
Mungu alimwahidi Ibrahimu akisema: “Nitawabariki wakubarikio, na atakayekulaani nitamlaani” (Mwanzo 12:3). Kauli hii haikubaki historia tu, inajidhihirisha mpaka leo kwa mataifa na watu binafsi.
Marekani ni mfano wa taifa la watu waliobarikiwa kwa sababu wanaiunga mkono Israeli. Tangu kuanzishwa kwa Taifa la Israeli mwaka 1948, Marekani imekuwa mshirika wake mkuu. Matokeo yake, Marekani ni taifa lililoinuka kiuchumi, kiteknolojia, na kijeshi kuliko mataifa mengi. Hata pale changamoto zinapokuja, bado Marekani imeendelea kuwa na nguvu kubwa katika dunia. Hii ni ishara ya wazi kuwa Neno la Mungu ni kweli na halibadiliki.
Mataifa yaliyoishambulia Israeli mwaka 1967 wakati wa Vita vya Siku Sita ni mfano mzuri wa madhara ya kuilaani au kuipinga Israeli. Katika vita hivyo, Israeli ilishinda majeshi ya nchi nyingi kwa siku chache tu, na hadi leo mataifa hayo bado yanahangaika kisiasa na kiuchumi. Mashirika na viongozi wa kigaidi wanapata uharibifu mkubwa, kila mara wanapoinua mikono yao dhidi ya Israeli. Badala ya mafanikio, wamekuwa wakipata maangamizi na kupoteza uhalali mbele ya dunia.
Wakristo wa mataifa mbalimbali, wale wanaoomba kwa ajili ya Yerusalemu na kuiunga mkono Israeli mara nyingi hushuhudia baraka binafsi: maendeleo, mafanikio ya huduma, na ulinzi wa ajabu wa Mungu. Ndio sababu, wengine hata katika ofisi zao, wanaweka bendera ya Israeli, kuonesha kuwa wanaibariki nchi hiyo.
Vibaraka wa hawa ashkenaz mpo wengi sana sijajua wanawalipa vipi lakini mpo wengi. Hebu niambie Ujerumani aliyewaua anashida zipi? Irani asiyewataka bila vikwazo angekuwa na shida ganiMungu alimwahidi Ibrahimu akisema: “Nitawabariki wakubarikio, na atakayekulaani nitamlaani” (Mwanzo 12:3). Kauli hii haikubaki historia tu, inajidhihirisha mpaka leo kwa mataifa na watu binafsi.
Marekani ni mfano wa taifa la watu waliobarikiwa kwa sababu wanaiunga mkono Israeli. Tangu kuanzishwa kwa Taifa la Israeli mwaka 1948, Marekani imekuwa mshirika wake mkuu. Matokeo yake, Marekani ni taifa lililoinuka kiuchumi, kiteknolojia, na kijeshi kuliko mataifa mengi. Hata pale changamoto zinapokuja, bado Marekani imeendelea kuwa na nguvu kubwa katika dunia. Hii ni ishara ya wazi kuwa Neno la Mungu ni kweli na halibadiliki.
Mataifa yaliyoishambulia Israeli mwaka 1967 wakati wa Vita vya Siku Sita ni mfano mzuri wa madhara ya kuilaani au kuipinga Israeli. Katika vita hivyo, Israeli ilishinda majeshi ya nchi nyingi kwa siku chache tu, na hadi leo mataifa hayo bado yanahangaika kisiasa na kiuchumi. Mashirika na viongozi wa kigaidi wanapata uharibifu mkubwa, kila mara wanapoinua mikono yao dhidi ya Israeli. Badala ya mafanikio, wamekuwa wakipata maangamizi na kupoteza uhalali mbele ya dunia.
Wakristo wa mataifa mbalimbali, wale wanaoomba kwa ajili ya Yerusalemu na kuiunga mkono Israeli mara nyingi hushuhudia baraka binafsi: maendeleo, mafanikio ya huduma, na ulinzi wa ajabu wa Mungu. Ndio sababu, wengine hata katika ofisi zao, wanaweka bendera ya Israeli, kuonesha kuwa wanaibariki nchi hiyo.
View attachment 3465015
Katika siku unaongea takataka, leo umekazia.Ndugu zangu, tujihadhari tusiitamkie mabaya Israeli. Hilo ni taifa teule la Mungu. Ndio sababu linaendelea kubarikiwa kama jinsi Mungu alivyoahidi.(Mwanzo 12:2-3)
Habari za hivi punde kutoka katika taifa hilo zinasema, Israel imefanikiwa kurusha satelaiti mpya ya kijasusi angani, hatua ambayo itaimarisha kwa kiwango kikubwa uwezo wake wa upelelezi katika eneo la Mashariki ya Kati. Kwa mujibu wa maafisa wa Israel, satelaiti hii inaweza kupiga picha za vitu vidogo hadi ukubwa wa sentimita 50, mchana na usiku.
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema uzinduzi wa satelaiti hiyo, iliyopewa jina la "Horizon 19," ni ujumbe wa moja kwa moja kwa maadui kwamba "tunawaangalia kila wakati na katika hali zote."
Source: BBC
Are you sure? How did hamas initiate while it was retaliation to occupation in both gaza strip and west Bank.Hamas initiated hostilities
But westbank has never attacked Israel why are they being punished?Therefore, striking Israel comes with the sobering expectation of being struck back with even greater force
Upotoshaji nchi kibao zilizounga mkono vita ile kama Saudia mbona ni matajiri wa mafuta leo hii? Qatar inaingiza mabilioni ya gesi, Libya iliilaani Israel ila ilikua tajiri mkubwa wa mafuta mpaka ilipokuja kuvamiwa na wazungu!! So sio kweli kuwa walioilaani basi ndio wamepotea otherwise middle east ingejaa nchi maskini tu!!
Unaelewa unachokizungumzia au unaandika lolote linalokujia?
Kama hujui, haya yaweke haya kichwani kwani inaonrkana huelewi:
1. Qatar haijawahi kushiriki vita yoyote dhidi ya Israel.
2. Saudi Arabia haikushiriki vita vya 1967 dhidi ya Israel. Ila kuna wapiganaji ambao hawakuridhishwa na Saufia kutoshiriki kwenye vita hivyo, wao walienda kama watu binafsi na kwenda kujiunga na Misri kupigana na Israel. Hiyo ilifanywa pia na wapiganaji waIraq na Lebanon.
3. Nchi zilizoingia rasmi kwenye vita dhidi ya Israel 1967 ni Misri, Sytia na Jordan. Lakini baadaye, baada ya kushindwa vita mara kadhaa, Misri iliomba kuwa na uhusiano mzuri na Israel, na baadaye Jordan nayo ikafanya hivyo hivyo. Na mpaka leo, hizo nchi ni marafiki wa Israel. Lakini Israel pia imekuwa na uhusiano mzuri na Saudi Arabia. Bila ya ule ushenzi wa Hamas, ilipangwa mwakajana nchi hizo zikifungua ofisi za ubalozi.
imani ni kazi ngumu sana , hawezi kukuelewa huyoGwajima anaiombeaga kila jumapili vipi mbona kanisa lake limefungiwa na hatujaona chochote kimetokea? Same to Ruto ni pro israel mbona nchi imemshinda na imejaa mikosi tu?
But westbank has never attacked Israel why are they being punished?
Stop justifying israel's misogynistic acts, and playing victim cards. They are just colonialists period
Yawezekana, lakini siamini kwa 100%. Kwa nini ameshindwa kuwaforce wengine, kama Syria, Iran, Lebanon, au Yemen?anaewafosi misri na jordan wawe na huo urafiki ni marekani mkuu
naam iran alikua mdau mkubwa sana wa usa ,,, hizo unazozitaja kina syria iran,lebanon,yemen unafananisha na jordan na egypt? hili suala wachambuzi nguli wa kimarekani wanaliunga mkono mzee.Yawezekana, lakini siamini kwa 100%. Kwa nini ameshindwa kuwaforce wengine, kama Syria, Iran, Lebanon, au Yemen?
Ukumbuke Iran, kabla ya mapinduzi, ilikuwa rafiki mkubwa wa Irael. Hata wakati wa vita ya Iran na Iraq, Israel ilikuwa inaisaidia Iran. Baada ya mapinduzi ya Iran, mambo yakageuka, na Ayatollah akasema eti Taifa la Israel halitakiwi kuwepo Duniani, wayahudi wanatakiwa kuangamizwa. Na uadui ukaanzia hapo.
fungua macho mkuu, mnaipenda israel kiasi kwamba hamtaki hata kufumbua macho ,,,, yani macho hayohayo mkitazama sehemu nyingine yanafunguka ila ikija israel mnafunga kitambaa usoni 🤣Pamoja na baadhi ya watu kuuawa kuke Westbank, lakini kwa ujumla haijashambuliwa kama ilivyo Gaza. Na wala humsikii Netanyahu akisema wanaenda kuikalia Westbank.
Unaweza nionyesha wapi nimesema Qatar au Saudi Arabia ilishiriki vita ya 1967?Unaelewa unachokizungumzia au unaandika lolote linalokujia?
Haya yametoka wapi? Kuna sehemu yoyote nimesema Saudia au Qatar walishiriki vita ya six day war?1. Qatar haijawahi kushiriki vita yoyote dhidi ya Israel.
2. Saudi Arabia haikushiriki vita vya 1967 dhidi ya Israel. Ila kuna wapiganaji ambao hawakuridhishwa na Saufia kutoshiriki kwenye vita hivyo, wao walienda kama watu binafsi na kwenda kujiunga na Misri kupigana na Israel. Hiyo ilifanywa pia na wapiganaji waIraq na Lebanon.
Ndiyo ukweliNdio hivyo
Punguza ujuaji kuna mahali nimekwambia sijui nani alishiriki 6 day war? Jikite kwenye hoja nimeuliza very technical questions naomba ujibu kama niliyoandika sio unajitungia maswali alafu ndio unajijibu.3. Nchi zilizoingia rasmi kwenye vita dhidi ya Israel 1967 ni Misri, Sytia na Jordan