Naendelea kuamini kuwa Mungu hasemi uongo. Alisema ukiibariki Israeli, utabarikiwa. Ukiilaani, utalaaniwa. Ushahidi huu hapa

Israel is comitting genocide in GazaView attachment 3465116
Israel, as a nation, still operates under the Old Covenant principle of ‘an eye for an eye, and a tooth for a tooth.’ This means that any aggression against them inevitably provokes a proportionate, and often overwhelming response. Hamas initiated hostilities, and what you are witnessing now is not unprovoked brutality, but retributive justice consistent with that ancient law. Therefore, striking Israel comes with the sobering expectation of being struck back with even greater force
 

Vibaraka wa hawa ashkenaz mpo wengi sana sijajua wanawalipa vipi lakini mpo wengi. Hebu niambie Ujerumani aliyewaua anashida zipi? Irani asiyewataka bila vikwazo angekuwa na shida gani
 
Katika siku unaongea takataka, leo umekazia.

Huyo mungu wenu (kama ndiye aliumba ulimwengu) alikuwa na haja gani kujaza watu bilioni nane kisha achague taifa la watu hawafiki hata milioni 300?
Kati ya nchi zenye mashoga wengi, israel ya mungu wenu imo

Haya, mungu wenu akawaambia wana wake wasiue, halafu papo hapo akawapa maelekezo waue kila kitu?

Kwahiyo mungu wenu hakuona ardhi nyingine zaidi ya kuamua wengine wafe ili ninyi waisrael mpate eneo? Shame
 
Hamas initiated hostilities
Are you sure? How did hamas initiate while it was retaliation to occupation in both gaza strip and west Bank.

Ukraine is invading russian-occupied territories such as Donbass to reclaim their land but all the blame is laid on Putin as the "initiator of hostilities". The same can't be said in the Gazan context!!

Hypocrisy
 
Therefore, striking Israel comes with the sobering expectation of being struck back with even greater force
But westbank has never attacked Israel why are they being punished?

Stop justifying israel's misogynistic acts, and playing victim cards. They are just colonialists period
 

Unaelewa unachokizungumzia au unaandika lolote linalokujia?

Kama hujui, haya yaweke haya kichwani kwani inaonrkana huelewi:

1. Qatar haijawahi kushiriki vita yoyote dhidi ya Israel.

2. Saudi Arabia haikushiriki vita vya 1967 dhidi ya Israel. Ila kuna wapiganaji ambao hawakuridhishwa na Saufia kutoshiriki kwenye vita hivyo, wao walienda kama watu binafsi na kwenda kujiunga na Misri kupigana na Israel. Hiyo ilifanywa pia na wapiganaji waIraq na Lebanon.

3. Nchi zilizoingia rasmi kwenye vita dhidi ya Israel 1967 ni Misri, Sytia na Jordan. Lakini baadaye, baada ya kushindwa vita mara kadhaa, Misri iliomba kuwa na uhusiano mzuri na Israel, na baadaye Jordan nayo ikafanya hivyo hivyo. Na mpaka leo, hizo nchi ni marafiki wa Israel. Lakini Israel pia imekuwa na uhusiano mzuri na Saudi Arabia. Bila ya ule ushenzi wa Hamas, ilipangwa mwakajana nchi hizo zikifungua ofisi za ubalozi.
 

anaewafosi misri na jordan wawe na huo urafiki ni marekani mkuu
 
Gwajima anaiombeaga kila jumapili vipi mbona kanisa lake limefungiwa na hatujaona chochote kimetokea? Same to Ruto ni pro israel mbona nchi imemshinda na imejaa mikosi tu?
imani ni kazi ngumu sana , hawezi kukuelewa huyo
 
But westbank has never attacked Israel why are they being punished?

Stop justifying israel's misogynistic acts, and playing victim cards. They are just colonialists period


West Bank, chini ya utawala wa serikali ya ndani ya Ramallah imekuwa na uhusiano mzuri na Israel kwa kipindi kirefu. Tatizo ni hao washenzi Hamas, ambao wakiona hali imekuwa ngumu kwenye mapigano, wanakimbilia Westbank, na hivyo kuhatarisha maisha ya wasio na hatia. Pamoja na baadhi ya watu kuuawa kuke Westbank, lakini kwa ujumla haijashambuliwa kama ilivyo Gaza. Na wala humsikii Netanyahu akisema wanaenda kuikalia Westbank.

Ni kweli kuwa kifo hata cha mtu mmoja asiye na hatia ni majonzi makubwa, lakini chanzo ni hawa Hamas. Kuna wakati mazungumxo yalienda vizuri hadi mwelekeo wa Wapalestina kuwa Taifa lao huru ulikuwa wazi, lakini hao Hamas wakaharibu kila kitu. Wakaanza kupigana na Wapalestina wenzao wakiwapinga kukubali kuwa na Taifa litakalokuwa na maeneo ya Gaza na Westbank pekee. Wao wakisaidiwa na Iran, wakasema wanataka mipaka ya Taifa la Palestina irudi kwenye mipaka pendekezwa ya 1948, ambayo wakati huo waliikataa.
 
anaewafosi misri na jordan wawe na huo urafiki ni marekani mkuu
Yawezekana, lakini siamini kwa 100%. Kwa nini ameshindwa kuwaforce wengine, kama Syria, Iran, Lebanon, au Yemen?

Ukumbuke Iran, kabla ya mapinduzi, ilikuwa rafiki mkubwa wa Irael. Hata wakati wa vita ya Iran na Iraq, Israel ilikuwa inaisaidia Iran. Baada ya mapinduzi ya Iran, mambo yakageuka, na Ayatollah akasema eti Taifa la Israel halitakiwi kuwepo Duniani, wayahudi wanatakiwa kuangamizwa. Na uadui ukaanzia hapo.
 
naam iran alikua mdau mkubwa sana wa usa ,,, hizo unazozitaja kina syria iran,lebanon,yemen unafananisha na jordan na egypt? hili suala wachambuzi nguli wa kimarekani wanaliunga mkono mzee.


hapo middle east inategemea usa anasema nini.


Pamoja na baadhi ya watu kuuawa kuke Westbank, lakini kwa ujumla haijashambuliwa kama ilivyo Gaza. Na wala humsikii Netanyahu akisema wanaenda kuikalia Westbank.
fungua macho mkuu, mnaipenda israel kiasi kwamba hamtaki hata kufumbua macho ,,,, yani macho hayohayo mkitazama sehemu nyingine yanafunguka ila ikija israel mnafunga kitambaa usoni 🤣
 
Haya yametoka wapi? Kuna sehemu yoyote nimesema Saudia au Qatar walishiriki vita ya six day war?
 
3. Nchi zilizoingia rasmi kwenye vita dhidi ya Israel 1967 ni Misri, Sytia na Jordan
Punguza ujuaji kuna mahali nimekwambia sijui nani alishiriki 6 day war? Jikite kwenye hoja nimeuliza very technical questions naomba ujibu kama niliyoandika sio unajitungia maswali alafu ndio unajijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…