Naendelea kuamini kuwa Mungu hasemi uongo. Alisema ukiibariki Israeli, utabarikiwa. Ukiilaani, utalaaniwa. Ushahidi huu hapa

Tatizo ni hao washenzi Hamas, ambao wakiona hali imekuwa ngumu kwenye mapigano, wanakimbilia Westbank
Wewe ni mtu makini sana ila dini inakupoteza. Niambie Hamas gani hao wapo westbank wakati literally lazima upite Israel ili utokee westbank!! Hamas gani wanapita Israel bila kukamatwa? Why unapotosha


Embu kwa ramani tu nionyeshe wanapitia wapi hao hamas?
 
Reactions: Lax
Kumbe wewe njemba, halafu utupanga hivi huko DM....

 
Pamoja na baadhi ya watu kuuawa kuke Westbank, lakini kwa ujumla haijashambuliwa kama ilivyo Gaza. Na wala humsikii Netanyahu akisema wanaenda kuikalia Westbank.
Upo dunia gani mkuu? Hivi haujui baraza la mawaziri wameshaafiki kuteka 82% ya westbank na kuwapa walowezi!! Nenda kasome kwanza kuhusu walowezi (Settlers) ndio urudi, seems you're very junior in Middle East politics..

https://www.timesofisrael.com/smotr...est-bank-in-bid-to-prevent-palestinian-state/

Nmekuwekea gazeti la Tel Aviv kabisa la jana!!
 
Acha kuzunguka, sawa Hamas ni wabaya enhee Mahmoud Abbas wa West Bank wana kosa gani? Mbona hawampi taifa huru la Palestina.
Westbank kuna magaidi? No
Mahmoud Abbas ni mkorofi? No
Westbank haina mahusiano mazuri na Tel aviv? No

Sasa mbona bado mmewavamia na mnataka kuwapora ardhi? Mtu mbaya ni mbaya tu hata akikosa sababu atafanya ubaya tu. Cha ajabu dini imewapofusha mnaokoteza visababu ili kuhalalisha tu!!
 
Ninyi na huyo mungu wenu mbaguzi, muuaji asiye na haya, ambaye baada ya kushindana na shetani (wa mchongo) akaamua kumleta kwetu ili atutese. Halafu akachagua mtu mmoja eti ndiye mtu wake, yeye na wqtu wake ni ******* kama ******* wengine.

Ukishasema mungu "wa fulani" maana yake sio Mungu Mkuu mwenye Enzi. Mungu mwenye Enzi na Utukufu, muumbaji wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana hana sifa za binadamu hata kidogo (chuki, hasira, ubaguzi, upendeleo, huzuni n.k).
 
Wamemezeshwa maandiko feki tu hao. Hakuna wanaloweza kutetea bila kutegemea source za west
 
Kama huyo mungu wa israel ndiye aliyeniumba mimi, anichome tu. Siwezi kumpenda mungu mbaguzi asiye na utu. Halafu wakati huohuo mimi nikilipa kisasi nionekane mbaya.
 
Arab league ambayo ilipaswa kuwa sauti ya Wapalestina, kwa Sasa hivi haina nguvu za umoja, kila nchi inapambana kujikomba kwa Marekani.
 
AI tu hiyo, mkuu. Nimeiweka kukazia mada 🙂
Kwahiyo bendera ndio nini hasa!! Maana ukisema Israel kama nchi kuna waislam 20% je hao nao ukiwabariki unabarikiwa? Au ni specifically wayahudi ambao likely 60% ya wananchi wa Israel!!

Mbona mnajichanganya au mpaka ukaiulize AI tena?
 
Yaan watu sijui bongo zao ziko matak*ni
 
Duh ....Mungu sio fala kiasi icho cha kuchagua taifa moja la waisrael na kuwafanya kama miungu watu apa duniani
Kumbukumbu la Torati 7:6-8
Kwa maana wewe u taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako; BWANA Mungu wako, amekuchagua kuwa watu wake hasa, zaidi ya mataifa yote walioko juu ya uso wa nchi. BWANA hakuwapenda ninyi, wala hakuwachagua ninyi, kwa sababu mlikuwa wengi kuliko mataifa yote, maana mlikuwa wachache kuliko watu wote; bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kukitimiza kiapo chake alichowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa,
 
Maandish ya watu waliokufa zamani
 
Maandish ya watu waliokufa zamani
Waandishi wanakufa lakini Neno la Mungu halifi.
Lk 21:33
"Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…