Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Niende kwenye mada
Nimekerwa sana na tabia yangu, na naendelea kuomba Mungu nimudi kuepuka mahusiano haya.
Nimefanikiwa kumtaka tukae mbali na mambo ya kipuuzi tuliyoanzana. Wakati wa hagaiko la kuachia hili jambo mapenzi yaliyoumbwa ni kitu kibaya Sana.
Msijaribu hiki kitukiukweli kwann ni ngumu kuacha??? Au kushindwa kuvumilia kurekax ukiachwa, Tena Mali za watu wengine