Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Unamlilia na kummegea kwa hali ya juu.. Ila usimsahaulishe familia shemelaYani mme wa mutu ni mutamu shemela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamlilia na kummegea kwa hali ya juu.. Ila usimsahaulishe familia shemelaYani mme wa mutu ni mutamu shemela
shemela mi sina, nimeokoka...😊Unamlilia na kummegea kwa hali ya juu.. Ila usimsahaulishe familia shemela
Tena hao wa kuokoka shemela ni balaa..!!! Afu hawanaga shobo maana nao kuonekanaonekana hadharani huwa hawapendi.. Ile mkiingia chobingo wanabinjuka utadhani wamemuokokea shetanishemela mi sina, nimeokoka...😊
shosti achana na huo utamu wa waume zao.Hongera....ila mme wa mtu ni mutamuuuu
😂😂😂😂 BT umevurugwa.....shosti achana na huo utamu wa waume zao.
wao wanaburudika na wakwetu na sie ni mwendo wa kukunjwa na vijana wao...single no stresss
Na wewe unamla mume wa mtu?Huwezi acha utarudia tu
to yeye umeongea kwa uhakika haswaa yaanii... Au na wewe umerudi?Utarudi tu
Akitokea namlaNa wewe unamla mume wa mtu?
Na maji utamwaga meengi🤣🤣🤣Akitokea namla
kuna wanaume wanavutia buana.Na maji utamwaga meengi🤣🤣🤣
Eti pakiwasha..Dah..!!Yaan labda awe na mtu but iviivi hapana pakiwasha atarudi tu
Unammeza kabisaa..Akitokea namla
Hakuna namnaUnammeza kabisaa..
Hungoji pawashe?Hakuna namna