Naendelea kuimarika na kuachana na mapenzi ya wame wa mtu

Hongera sana hiyo ni hatua kubwa jitahid uache kabisaaaaaa hiyo tabia wala usikubali kurudi nyuma mume wa mtu muachie mke wake.
 
Hongera Kilaba, wengi wameingia kwenye huo mtego wanatamani kutoka ila wamejikuta wanashindwa sababu

Nafsi yako iko hai, tena imekataa kabisaa kushuhudia na kushikilia mambo yasiyokupa amani

Mathayo 26:41
Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.
AnanITumia muamala. Kwa kweli nashindwa kuikataa. Laki 5 kaki 2 ni kama kwake ni kama senti. Shida hizi napunguza ukali wa maisha... Nisiwe muongo penz langu ana injoi sana. Na mm natoa maji mengi sana
 
Hakika kwa neema za Mungu utaweza , haijalishi hela anazokupa ni kiasi gani . Jambo kubwa umetambua kuwa si vyema kutoka na mme wa mtu na umeonyesha nia ya kubadilika .
 
Nataka kukwepa kabisa asinitafute. Lkn ana mbinu ya kunipa pesa akinila tu nashangaa nakwenda na tunaendelea.
 
Hizo fikra wanawake wa kisasa product za Lucifer ndo mana entertain sana ooooh mume wa mtu .....mwanaume kiasilis kaumbiwa wake wengi bwana hata hao manabii walioa wengi sijui huu utaratibu na tamaduni mliutoa wapi

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Nataka kukwepa kabisa asinitafute. Lkn ana mbinu ya kunipa pesa akinila tu nashangaa nakwenda na tunaendelea.
Inaonekana unampenda sana , kila kitu ni hatua trust the process . Hela si kitu tafuta namna uache kuwasiliana naye .
 
AnanITumia muamala. Kwa kweli nashindwa kuikataa. Laki 5 kaki 2 ni kama kwake ni kama senti. Shida hizi napunguza ukali wa maisha... Nisiwe muongo penz langu ana injoi sana. Na mm natoa maji mengi sana
Hapa sasa unajipigia promo na unatafuta soko, vipi na kwa mpalange anapata au
 
AnanITumia muamala. Kwa kweli nashindwa kuikataa. Laki 5 kaki 2 ni kama kwake ni kama senti. Shida hizi napunguza ukali wa maisha... Nisiwe muongo penz langu ana injoi sana. Na mm natoa maji mengi sana
Naona unajitangazia biashara,usihofu tutakuja PM
 
AnanITumia muamala. Kwa kweli nashindwa kuikataa. Laki 5 kaki 2 ni kama kwake ni kama senti. Shida hizi napunguza ukali wa maisha... Nisiwe muongo penz langu ana injoi sana. Na mm natoa maji mengi sana
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Sasa kwa nini unataka kumuua na kiu mume wa watu wakati maji unayo?
 
AnanITumia muamala. Kwa kweli nashindwa kuikataa. Laki 5 kaki 2 ni kama kwake ni kama senti. Shida hizi napunguza ukali wa maisha... Nisiwe muongo penz langu ana injoi sana. Na mm natoa maji mengi sana
Oya wadau...dume hili mimi nimelishtukia.Huu uzi tumepigwa.Huu sio mwandiko wa kike
 
Wadau achen kupoteza muda kulishauri dume hili.Kuna harufu ya upigwaji hapa watakaokwenda pm.Ni tangazo la biashara hili na specs mshawekewa like.."natoa maji mengi"
Bei pia mshawekewa like 500k mpaka 200k. But all in all hil ni dume.Kazi kwenu
 
Yaan wewe
 
Back
Top Bottom