Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Asante sanaHongera
Niende kwenye mada
Nimekerwa sana na tabia yangu, na naendelea kuomba Mungu nimudi kuepuka mahusiano haya.
Nimefanikiwa kumtaka tukae mbali na mambo ya kipuuzi tuliyoanzana. Wakati wa hagaiko la kuachia hili jambo mapenzi yaliyoumbwa ni kitu kibaya Sana. Msijaribu hiki kitukiukweli kwann ni ngumu kuacha??? Au kushindwa kuvumilia kurekax ukiachwa, Tena Mali za watu wengine
Utamu uko wapi? Sisi hatuna utamu.Hongera....ila mme wa mtu ni mutamuuuu
sisi tunaowakula ndio tunajua utamu wenuUtamu uko wapi? Sisi hatuna utamu.
Acha basi πππHuwezi acha utarudia tu
Ni kama kula nyama ya mtuAcha basi πππ
kaambiwa kodi ikifika atarudiNi kama kula nyama ya mtu
Hongera kwa kupiga hatua. Mungu akutilie nguvu.Niende kwenye mada
Nimekerwa sana na tabia yangu, na naendelea kuomba Mungu nimudi kuepuka mahusiano haya.
Nimefanikiwa kumtaka tukae mbali na mambo ya kipuuzi tuliyoanzana. Wakati wa hagaiko la kuachia hili jambo mapenzi yaliyoumbwa ni kitu kibaya Sana. Msijaribu hiki kitukiukweli kwann ni ngumu kuacha??? Au kushindwa kuvumilia kurekax ukiachwa, Tena Mali za watu wengine
Niende kwenye mada
Nimekerwa sana na tabia yangu, na naendelea kuomba Mungu nimudi kuepuka mahusiano haya.
Nimefanikiwa kumtaka tukae mbali na mambo ya kipuuzi tuliyoanzana. Wakati wa hagaiko la kuachia hili jambo mapenzi yaliyoumbwa ni kitu kibaya Sana. Msijaribu hiki kitukiukweli kwann ni ngumu kuacha??? Au kushindwa kuvumilia kurekax ukiachwa, Tena Mali za watu wengine
KasaBata si bata , kuku si kuku " sjui ni kitu gan? tu.