Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Anajifanya mchambuzi lkn mjasiria damu tu huyuNgumbaru kabisa wewe nilikuwa nahisi unazo za kichwani kumbe ni shabiki tu.
Ndio maana likitabu lako haliuziki miaka nenda rudi utasoma na wanao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajifanya mchambuzi lkn mjasiria damu tu huyuNgumbaru kabisa wewe nilikuwa nahisi unazo za kichwani kumbe ni shabiki tu.
Ndio maana likitabu lako haliuziki miaka nenda rudi utasoma na wanao
Hayo tulikemea kitambo bali sasa tunakemea Ukraineuko sahihi kiasi,lakini ili na wewe usionekane mnafiki,kemea wote russia na usa,usa aliua iraq,libya,afghanstan,kaharibu sana syria,au yeye ni haki yake kuua wengine?
DustKwako wewe Usalama wa raia wa Ukraine hauna maana; yaani unafurahia kuwaona wauwawa bila kosa vile?
Hicho kivuli cha Urusi kudai usalama wake ni bogus kabisa na ni wapumbavu tu wanaoweza kukiamni. Urusi inapakana moja kwa moja Marekani kwa karibu sana wakitenganishwa na eneo dogo sana la Berring Sea; mtu anaweza kueogelea kutoka Alaska kwenda Urusi na kurudi, lakini bado hawajahi kuweka jeshi kubwa pale au kusema waipige Alaska ili kulinda usalama wao.
Kwa nyie msiolewa, ukweli ni kuwa Putin anataka nchi zote zilizokuwa USSR zamani zote ziwe chini yake na zifuate amri yake tu; ni sawa na kusema Uingereza ilazimishe nchi zote zilizokuwa makoloni yake yafuate matakwa ya uingereza tu, jambo ambalo haliwezekani kabisa katika dunia ya leo. Nchi zile zilizobaki chini ya matakwa wa Putin ni zile ambazo zina marais wa maisha, kwa mfano Belarus, Azerbaijan na nyinginezo ambazo rais hachaguliwi na wananchi. Halafu Putini ana ubaguzi sana kwani anabagua wote wasiokuwa warusi kama vile hawana maana; utaona amekuwa analazimisha maeneo ya Ukraine ambayo yana watu wengi wenye asili ya urusi yajitenge na amekuwa anawapa silaha. Na anavyouwa watu wengine wa urusi ni kwamba anona hawastahili kuhisi anataka awamalize wote.
Nawaoneaga huruma sana watu wanaosoma vitabu vya yeriko nyerere ni wanapoteza mda wao, kwenye vitabu vyake anaelezea mambo ya ujasusi laki in reality ana support udikteta mim kusoma vilivyoandikwa na author sababu hawaamin walichoandikaMtanzania ni mnafiki kupindukia ndugu yangu.
---Russia anaua wengine kwa kujilinda???
---Uhai wao na taifa lao sio muhimu???
Huu sio utu kuanzia kwa Putin na vibaraka wake wote.
Huwezi kujenga kwako kwa kubomoa kwa jirani.
Huwezi kujilinda kwa kumwaga damu zisizo na hatia.
Nawaoneaga huruma sana watu wanaosoma vitabu vya yeriko nyerere ni wanapoteza mda wao, kwenye vitabu vyake anaelezea mambo ya ujasusi laki in reality ana support udikteta mim kusoma vilivyoandikwa na author sababu hawaamin walichoandika
Pumba tupu . Kama wewe mjuzi basi pokea kombe uondoke usiendelee kujaza pumba hapa. Yaani wewe unasema kuwa kuna usalama wa taifa ambao siyo usalama wa raia, utakuwa mtu wa ajabu. Kama yote hayo wewe unayaona ni usalama wa taifa bila hata kujua historia zake basi tuambiea kuwa kutengana Rwanda na Burundi na Tanganyika wakati huo ni kwa sababu ya usalama wa taifa gani, maasi yaliyomua Lumumba yalikuwa ni Usalama wa taifa gani.
Kama Urusi inaogopa kuwa Ukraine ikiwa sehemu ya Nato itahatarisha usalama wa taifa lake kwa kuleta Nato karibu, kwa nini hajahamisha mpaka kutoka International date line kusudi awe mbali na Marekani. In fact Marekani ina raslimali nyingi sana za kijeshi kwenye Bahari ya Pacific yote kuliko taifa lolote, lakini hajawahi kusema hiyo ninatishia usalama wa Taifa lake: pale Korea ya kusini na japan kuna mitambo mingi ya kijeshi ya Marekani na wala hajawahi kuilalamikia.
Umeelewa makala hiii kweli ndugu?WAAFRIKA WAPUMBAVU SANA, SIJAWAHI ONA WATU WAPIGA KELELE WAKATI KONGO WANAUANA, VIPI KUHUSU AFRIKA YA KATI, ETHIOPIA NA TIGRIS JE???
SO UNAJIONA MRUSI MWEUSI, ETI NIKO PAMOJA NA URUSI😂😂😂
Kwani kwenye hii vita umeona ukraine wamekuja kuomba msaada afrika?WAAFRIKA WAPUMBAVU SANA, SIJAWAHI ONA WATU WAPIGA KELELE WAKATI KONGO WANAUANA, VIPI KUHUSU AFRIKA YA KATI, ETHIOPIA NA TIGRIS JE???
SO UNAJIONA MRUSI MWEUSI, ETI NIKO PAMOJA NA URUSI[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawauawi bila kosa! Wanauawa kwa kosa la kiongozi wao kutojali mstari mwekundu uliowekwa na PUTIN!Kwako wewe Usalama wa raia wa Ukraine hauna maana; yaani unafurahia kuwaona wauwawa bila kosa vile?
Hicho kivuli cha Urusi kudai usalama wake ni bogus kabisa na ni wapumbavu tu wanaoweza kukiamni. Urusi inapakana moja kwa moja Marekani kwa karibu sana wakitenganishwa na eneo dogo sana la Berring Sea; mtu anaweza kueogelea kutoka Alaska kwenda Urusi na kurudi, lakini bado hawajahi kuweka jeshi kubwa pale au kusema waipige Alaska ili kulinda usalama wao.
Kwa nyie msiolewa, ukweli ni kuwa Putin anataka nchi zote zilizokuwa USSR zamani zote ziwe chini yake na zifuate amri yake tu; ni sawa na kusema Uingereza ilazimishe nchi zote zilizokuwa makoloni yake yafuate matakwa ya uingereza tu, jambo ambalo haliwezekani kabisa katika dunia ya leo. Nchi zile zilizobaki chini ya matakwa wa Putin ni zile ambazo zina marais wa maisha, kwa mfano Belarus, Azerbaijan na nyinginezo ambazo rais hachaguliwi na wananchi. Halafu Putini ana ubaguzi sana kwani anabagua wote wasiokuwa warusi kama vile hawana maana; utaona amekuwa analazimisha maeneo ya Ukraine ambayo yana watu wengi wenye asili ya urusi yajitenge na amekuwa anawapa silaha. Na anavyouwa watu wengine wa urusi ni kwamba anona hawastahili kuhisi anataka awamalize wote.
Nakili wazi bado sijapata majibu ya hoja zangu tatu za kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za Kijeshi Ukraine. Hoja zangu hazijajibiwa, wanaojaribu kujibu wanajibu kwa hisiasa zao bila kugusa hoja za msingi nilizozijenga wakati naweka msimamo wangu kwamba naunga mkono Urusi katika mgogoro huu. Leo ni siku ya 15 bado sijajibiwa na kushawishika kutengua msimamo wangu. Wakati naweka msimamo nilijenga sababu kuu Tatu na kuziorodhesha kama ifuatavyo;
SABABU YA KWANZA: ya kuunga mkono Urusi ni kwamba ni hatua muhimu ya kukomesha mauaji ya miaka karibu kumi sasa yanayofanywa na Ukraine dhidi ya Wananchi wa Majimbo ya Luhansk na Donetsk. Kwa msiojua Mtangulizi wa Rais Zelensk wa Ukraine, bwana Petro Poroshenko tangu ashike madaraka 2014 aliendesha mauaji ya wapinzani wengi katika majimbo ya DPR na LPR yaliyotaka kujitenga hadi alipoondoka tu vita havikumalizika.
Alipoingia Zelensk nae akafuata nyayo za mtangulizi wakw, akaigeuza Ukraine kuwa jehanamu kwa aliowaita waasi, aliendesha mauaji makubwa sana hasahasa 2021 dhidi ya raia kule katika miji ya Donbass katika kile alichokiita kudhibiti waasi wanaotaka kujitenga. Dunia hii ilikaa kimya, Urusi ikawa ndio pango la kupokea wakimbizi zaidi la laki tatu, Kiongozi Jimbo la Donetsk Bwana Denis Pushilin amenusurika mauaji zaidi ya marakumi hadi alipoomba ulinzi wa kimataifa kutoka Moscow, na mwisho akaongoza mapambano na kufanikiwa kujitangazia Uhuru.
Vile vile kiongozi wa jimbo la Luhansk bwana Leonid Pasechnik nae ilimlazimu kutafuta hifadhi ya kisiasa Moscow kwa lengo la kunusuru maisha yake dhidi ya Rais wa Ukraine bwana Zelensk aliyeapa kufuta uasi katika majimbo hayo, Aliongoza mapambano kwa ushirika wa Kiongozi wa jimbo la Donetsk bwana Pushilin na hatimaye wiki jana wamefanikiwa kumshinda Zelensk na Kujitangazia Uhuru. Urusi imeyatambua majimbo hayo kama nchi huru, Belarus na nchi nyingine tano tayari zimetambua. Ukraine imepinga uhuru huo ikaapa kuendesha vita nzito zaidi dhidi ya waliojitenga, Hatua hiyo ikawalazimu viongozi wa mapinduzi waombe msaada wa kijeshi kutoka Urusi. Na wameupata. Oparesheni ya Urusi ndio mwarobaini wa kukomesha mauaji ya miaka zaidi ya kumi sasa, kinyume na hapo miji itaendelea kuvuja damu kila kukicha.
Hoja hii ya kwanza inaungwa mkono na documentary hii ilitoka miezi sita nyuma kabla ya hii vita kuanza link Ukraine on Fire
SABABU YA PILI; ya kuunga mkono Urusi ni kitendo cha Marekani kutaka kujenga ngome ya kijeshi Ukraine, na katika kutimiza hilo Marekani kwakutumia washirika wake wa Nato wakamshawishi avunje Mkataba wa Minsk wa 2015 pamoja na mambo mengine, ulisema Ukanda wa Kaskazini Magharibi mwa Urusi (Ukraine) uliokuwa Umoja wa Kisoviet ya zamani Hautaruhusiwa kujiunga na Umoj wa Ulaya. Katika kibri cha Zelensk akaomba kujiunga Umoja wa Ulaya. Moscow akajibu kwa moto.
SABABU YA TATU; ya kuunga mkono Urusi ni kitendo cha Marekani kupitia shirika lake la kijasusi la CIA kuvuruga dili la Urusi la kujenga bomba la awamu ya pili la gesi maarufu kama NORD STREAM II, ambalo lingelisha gesi Ulaya yote kwa 90% tofauti na sasa mbapo Ulaya inategemea gesi ya Urusi kwa 40% tu, Marekani ameitumia Ukraine kukwamisha mradi huu na baadhi ya nchi za Nato. Kitendo hiki ilikuwa ni uchokozi wa kiuchumi na kijasusi, Jibu la Urusi limeanzia kwa Ukraine kwanza.
Hoja ya kwanza na ya tatu hazijaguswa na yeyote na nikama vile hawaoni kama ni sababu ama laaa, Lakini wako watu wachache wamejaribu kujibu kwakudonoa hoja moja tua hasa ile ya pili ndio imerudiwarudiwa kujibiwa lakini kwa majibu mepesa yanayotafsiri kwamba wengi hawaelewi dhana ya dunia na nguvu zake ama kijasusi huitwa Ushawishi wa Nchi, Na wako wengine waliweka msimamo tu wakupinga vita bila kueleza sababu, hawa dhana yao inalalia kwenye hoja ya pili pia bila kuwa na vuungo vya hoja.
Katika kuifafanua hoja ya pili na kuikazia hoja yangu ya kwanini naunga mkono Urusi. Naomba niseme kwamba, Dunia inawatu wanaotwa Wafanyamaamuzi, na kuna anaoitwa Watekelezaji wa maamuzi. Yaani kuna Super power countries, Karne ya 19 mkubwa duniani (Super power) alikuwa ni Urusi (Soviet Union), huyu aliamua mwelekeo wa dunia hadi alipoanguka 1989. Pamoja na kwamba Marekani alikuwepo na nguvu, lakini dunia ilikuwa na balance ya nguvu za kimagharibi na Mashariki.
Sijui kama watu wanakumbuka tukio la Cuban missile crisis USSR la October - November 1962, Soviet katika kilele cha nguvu zake na ubabe duniani waliweka makombora (missile) Cuba, kama eneo muhimu la kueneza Ujamaa Amerika ya Kusini na Kaskazini pia, Marekani walipofahamu tu jambo hili, ukaibuka mvutano mkubwa duniani uliohatarisha vita kuu ya pili duniani, Marekani walikizunguka Kisiwa cha Cuba kwa Meli na ndege kwa mwezi mzika, na mwisho makombora hayo yaliondolewa na Russia baada ya majadiliano ya mezani kama wakubwa sio vinginevyo. Marekani walionao ni hatari kwa usalama wao Soviet kuweka kituo chao cha Kijeshi Cuba, Tambua Cuba ilikuwa nchi huru kama Ukraine, yaani Cuba ileile ya mjamaa halisi Fedel Castro ambae alikuwa ni adui mkubwa wa Marekani hadi kufa kwake. Sasa anayeamini kuna uhuru wa nchi mbele ya Super power countries huyo bado ni mtoto duniani, akae kitako tuendelee kumfundisha kwamba uhuru unaojadiliwa na kusimuliwa ni ule wa kisiasa wa ndani tu wa vyama vya siasa na wa kuzungumza, nje ya hapo dunia ya tatu haiko huru na haitakuwa huru. Uhuru ni dhana pana sana. Haihusiani na Maslahi ya nchi kwa Marekani, Urusi na Uchina japo uchina bado hajajikomboa kufika viwango vya hawa wawili.
Sasa karne ya 21 Maslahi ya Urusi yanaguswa, Russia nae ana haki hiyo dhidi ya Ukraine. Uhuru wa nchi zote za mlengo wa kushoto unategemea msimamo wa Moscow, Hilo upende au usipende ndivyo dunia ilivyo. Vile vile Uhuru wa Nchi zenye mlengo wa Kulia unategemea msimamo wa Washington. Sera ya mambo ya nje ya Marekani ni muhimu na hutazamwa ndio eneo la usalama wa Marekani, Vivyo hivyo Sera ya Mambo ya nchi ya Urusi hii mpya chini ya Waziri shupavu Sergio Lavrov inalindwa kwa wino mwekundu kabisa kwakuwa ndio roho ya Kremlin.
Pengini watu hawajafahamu msingi wa India ambayo ni nchi muhimu sana kwa Urusi katika kuishinda Marekani kwenye vita vya ushawishi duniani kitendo cha kutochagua upande, na kwake ina maana kubwa sana katika geopolitics autonomy. India ni mteja mkubwa wa silaha za Urusi na ndege binsfsi. Hayuko tayari kupoteza fursa hiyo.
Nchi muhimu kwa USA za Israel, Saudia Arabia, UAE licha ya kuombwa kukemea operesheni ya kijeshi hadharani zimeamua kutochagua upande ni jambo tofauti kabisa na matarajio ya Marekani, sawa kabisa na nchi yangu ya Tanzania isiyofungamana na upande wowote.
Wako waliokosa hoja za kuipinga Urusi, badala yake wanabeza kwakusema kwanini hadi leo siku ya 15 bado tu Urusi haijateka mji mkuu Kyiv? Kwamba hii inaonyesha Urusi ali underrate vita hii, na kwamba Urusi ameshindwa vita. Binafsi naomba niwajibu hawa ndugu, Kama tutakubaliana kwa imani yangu ya Mizimu toka Mbutu Block E, Kigamboni niwakumbushe tu kwamba, Russia alilivamia Afghastan mwaka 1979 na kuondoka 1989, yaani aliikalia Afghanistan kimabavu kwa miaka 10 na alifanya hivyo baada ya Marekani Mjomba wake NATO kujaribu kuingilia vita kwakufadhili makundi ya ya Taliban ambayo makundi hayohayo baadae Marekani huyohuyo akatutangazia kuwa ni makundi ya Kigaidi.
Watu hawa wanaoipinga Urusi wanaenda mbali wanasema Marekani alivamia Iraq kwa siku chache tu akitokea Marekani, iweje Urusi iliyoko jirani na Ukraine inadhindwa kumaliza vita hadi leo? Majibu yangu kwao ni kwamba, Vita vya Marekani na Iraq vilipiganwa kutokea nchi vibaraka za Kuweit (669.9 km hadi mji mkuu Baghdad), Afghanistan (2,156 km hadi mji mkuu Baghdad) na Pakstan ( 2551 km hadi Baghdad). Havikupiganwa tokea moja kwa moja Marekani.
Vita vya Urusi na Ukraine vinapiganwa tokea Cremia (2,098.7 km hadi mji mkuu Kyiv), Donetsk (722.7 km hadi mji mkuu Kyiv) Luhansk (831.3 km hadi mji mkuu Kyiv) na Belarus (496.4 km hadi mji mkuu Kyiv). Izingatiwe na ieleweke kwamba, Marekani katika vita vya Uvamizi wake Iraq alikuwa na Ushirika wa Uingereza iliyovamia kutokea jiji la Basra, Ujerumani, Ufaransa, Australia, na ndugu wengine wa NATO. Lakini iliwachukua siku 23 hadi kuuteka mji mkuu Baghdad.
Je Urusi yuko na nani vitani, halafu hajapeleka jeshi lake halisi la Red Amy, anatumia majeshi ya nchi mpya zilizojitenga kama Cremia, Donetsk, Luhansk, Chechnia na wale Mercenary wa kirusi waitwao Wagner Group. Kuna majenerali wachache toka Vikosi maalumu Urusi wanaoongoza oparesheni lakini jeshi rasmi la Urusi liko standby kusubiri USA au NATO atie pua, Kilichomuondoa duniani Hitler watakiona live. Vita hivi vitaisha Urusi na Marekani wakikaa chini na kukubaliana yaani mazungumzo ya amani na si vinginevyo
Bado unasubiri nini?
Soma vitabu (Soft copy) vya Yericko Nyerere kwa 5,000/= tu kwa wiki kupitia App bora kabisa ya Vitabu Tanzania. Pakua sasa jisajili lipia wiki, mwezi au mwaka ujisomee vitabu vyote kupitia Play store Link [emoji117][emoji117][emoji117]Yericko Nyerere App - Apps on Google Play
View attachment 2152327
Wewe unamshangilia mwendawazimu mwingine. Mwaka 1939 kuna watu walimshangilia Hitler- unaona madhara aliyofanya kwa dunia. Uvamizi wa Urusi huko ukraine hauna sababu yoyote ya msingi kwa wakati huu, Ukraine si mwanachama wa Nato wala Jumuiya ya Ulaya. Putin anatamani kurudisha USSR ya zamani hasa baada ya kujitengenezea silaha kali za maangamizi na kujipatia fedha nyingi kutokana na bomba la mafuta na gesi linalopeleka ulaya. Kinachofanyika Ukraine ni mauaji ya raia wasiokuwa na hatia . Hapa unatakiwa uwe binadamu kwanza alafu -mauaji yakiisha ndiye uwe msomi aliyebobea kwenye maswala ya kimataifa.Nakili wazi bado sijapata majibu ya hoja zangu tatu za kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za Kijeshi Ukraine. Hoja zangu hazijajibiwa, wanaojaribu kujibu wanajibu kwa hisiasa zao bila kugusa hoja za msingi nilizozijenga wakati naweka msimamo wangu kwamba naunga mkono Urusi katika mgogoro huu. Leo ni siku ya 15 bado sijajibiwa na kushawishika kutengua msimamo wangu. Wakati naweka msimamo nilijenga sababu kuu Tatu na kuziorodhesha kama ifuatavyo;
SABABU YA KWANZA: ya kuunga mkono Urusi ni kwamba ni hatua muhimu ya kukomesha mauaji ya miaka karibu kumi sasa yanayofanywa na Ukraine dhidi ya Wananchi wa Majimbo ya Luhansk na Donetsk. Kwa msiojua Mtangulizi wa Rais Zelensk wa Ukraine, bwana Petro Poroshenko tangu ashike madaraka 2014 aliendesha mauaji ya wapinzani wengi katika majimbo ya DPR na LPR yaliyotaka kujitenga hadi alipoondoka tu vita havikumalizika.
Alipoingia Zelensk nae akafuata nyayo za mtangulizi wakw, akaigeuza Ukraine kuwa jehanamu kwa aliowaita waasi, aliendesha mauaji makubwa sana hasahasa 2021 dhidi ya raia kule katika miji ya Donbass katika kile alichokiita kudhibiti waasi wanaotaka kujitenga. Dunia hii ilikaa kimya, Urusi ikawa ndio pango la kupokea wakimbizi zaidi la laki tatu, Kiongozi Jimbo la Donetsk Bwana Denis Pushilin amenusurika mauaji zaidi ya marakumi hadi alipoomba ulinzi wa kimataifa kutoka Moscow, na mwisho akaongoza mapambano na kufanikiwa kujitangazia Uhuru.
Vile vile kiongozi wa jimbo la Luhansk bwana Leonid Pasechnik nae ilimlazimu kutafuta hifadhi ya kisiasa Moscow kwa lengo la kunusuru maisha yake dhidi ya Rais wa Ukraine bwana Zelensk aliyeapa kufuta uasi katika majimbo hayo, Aliongoza mapambano kwa ushirika wa Kiongozi wa jimbo la Donetsk bwana Pushilin na hatimaye wiki jana wamefanikiwa kumshinda Zelensk na Kujitangazia Uhuru. Urusi imeyatambua majimbo hayo kama nchi huru, Belarus na nchi nyingine tano tayari zimetambua. Ukraine imepinga uhuru huo ikaapa kuendesha vita nzito zaidi dhidi ya waliojitenga, Hatua hiyo ikawalazimu viongozi wa mapinduzi waombe msaada wa kijeshi kutoka Urusi. Na wameupata. Oparesheni ya Urusi ndio mwarobaini wa kukomesha mauaji ya miaka zaidi ya kumi sasa, kinyume na hapo miji itaendelea kuvuja damu kila kukicha.
Hoja hii ya kwanza inaungwa mkono na documentary hii ilitoka miezi sita nyuma kabla ya hii vita kuanza link Ukraine on Fire
SABABU YA PILI; ya kuunga mkono Urusi ni kitendo cha Marekani kutaka kujenga ngome ya kijeshi Ukraine, na katika kutimiza hilo Marekani kwakutumia washirika wake wa Nato wakamshawishi avunje Mkataba wa Minsk wa 2015 pamoja na mambo mengine, ulisema Ukanda wa Kaskazini Magharibi mwa Urusi (Ukraine) uliokuwa Umoja wa Kisoviet ya zamani Hautaruhusiwa kujiunga na Umoj wa Ulaya. Katika kibri cha Zelensk akaomba kujiunga Umoja wa Ulaya. Moscow akajibu kwa moto.
SABABU YA TATU; ya kuunga mkono Urusi ni kitendo cha Marekani kupitia shirika lake la kijasusi la CIA kuvuruga dili la Urusi la kujenga bomba la awamu ya pili la gesi maarufu kama NORD STREAM II, ambalo lingelisha gesi Ulaya yote kwa 90% tofauti na sasa mbapo Ulaya inategemea gesi ya Urusi kwa 40% tu, Marekani ameitumia Ukraine kukwamisha mradi huu na baadhi ya nchi za Nato. Kitendo hiki ilikuwa ni uchokozi wa kiuchumi na kijasusi, Jibu la Urusi limeanzia kwa Ukraine kwanza.
Hoja ya kwanza na ya tatu hazijaguswa na yeyote na nikama vile hawaoni kama ni sababu ama laaa, Lakini wako watu wachache wamejaribu kujibu kwakudonoa hoja moja tua hasa ile ya pili ndio imerudiwarudiwa kujibiwa lakini kwa majibu mepesa yanayotafsiri kwamba wengi hawaelewi dhana ya dunia na nguvu zake ama kijasusi huitwa Ushawishi wa Nchi, Na wako wengine waliweka msimamo tu wakupinga vita bila kueleza sababu, hawa dhana yao inalalia kwenye hoja ya pili pia bila kuwa na vuungo vya hoja.
Katika kuifafanua hoja ya pili na kuikazia hoja yangu ya kwanini naunga mkono Urusi. Naomba niseme kwamba, Dunia inawatu wanaotwa Wafanyamaamuzi, na kuna anaoitwa Watekelezaji wa maamuzi. Yaani kuna Super power countries, Karne ya 19 mkubwa duniani (Super power) alikuwa ni Urusi (Soviet Union), huyu aliamua mwelekeo wa dunia hadi alipoanguka 1989. Pamoja na kwamba Marekani alikuwepo na nguvu, lakini dunia ilikuwa na balance ya nguvu za kimagharibi na Mashariki.
Sijui kama watu wanakumbuka tukio la Cuban missile crisis USSR la October - November 1962, Soviet katika kilele cha nguvu zake na ubabe duniani waliweka makombora (missile) Cuba, kama eneo muhimu la kueneza Ujamaa Amerika ya Kusini na Kaskazini pia, Marekani walipofahamu tu jambo hili, ukaibuka mvutano mkubwa duniani uliohatarisha vita kuu ya pili duniani, Marekani walikizunguka Kisiwa cha Cuba kwa Meli na ndege kwa mwezi mzika, na mwisho makombora hayo yaliondolewa na Russia baada ya majadiliano ya mezani kama wakubwa sio vinginevyo. Marekani walionao ni hatari kwa usalama wao Soviet kuweka kituo chao cha Kijeshi Cuba, Tambua Cuba ilikuwa nchi huru kama Ukraine, yaani Cuba ileile ya mjamaa halisi Fedel Castro ambae alikuwa ni adui mkubwa wa Marekani hadi kufa kwake. Sasa anayeamini kuna uhuru wa nchi mbele ya Super power countries huyo bado ni mtoto duniani, akae kitako tuendelee kumfundisha kwamba uhuru unaojadiliwa na kusimuliwa ni ule wa kisiasa wa ndani tu wa vyama vya siasa na wa kuzungumza, nje ya hapo dunia ya tatu haiko huru na haitakuwa huru. Uhuru ni dhana pana sana. Haihusiani na Maslahi ya nchi kwa Marekani, Urusi na Uchina japo uchina bado hajajikomboa kufika viwango vya hawa wawili.
Sasa karne ya 21 Maslahi ya Urusi yanaguswa, Russia nae ana haki hiyo dhidi ya Ukraine. Uhuru wa nchi zote za mlengo wa kushoto unategemea msimamo wa Moscow, Hilo upende au usipende ndivyo dunia ilivyo. Vile vile Uhuru wa Nchi zenye mlengo wa Kulia unategemea msimamo wa Washington. Sera ya mambo ya nje ya Marekani ni muhimu na hutazamwa ndio eneo la usalama wa Marekani, Vivyo hivyo Sera ya Mambo ya nchi ya Urusi hii mpya chini ya Waziri shupavu Sergio Lavrov inalindwa kwa wino mwekundu kabisa kwakuwa ndio roho ya Kremlin.
Pengini watu hawajafahamu msingi wa India ambayo ni nchi muhimu sana kwa Urusi katika kuishinda Marekani kwenye vita vya ushawishi duniani kitendo cha kutochagua upande, na kwake ina maana kubwa sana katika geopolitics autonomy. India ni mteja mkubwa wa silaha za Urusi na ndege binsfsi. Hayuko tayari kupoteza fursa hiyo.
Nchi muhimu kwa USA za Israel, Saudia Arabia, UAE licha ya kuombwa kukemea operesheni ya kijeshi hadharani zimeamua kutochagua upande ni jambo tofauti kabisa na matarajio ya Marekani, sawa kabisa na nchi yangu ya Tanzania isiyofungamana na upande wowote.
Wako waliokosa hoja za kuipinga Urusi, badala yake wanabeza kwakusema kwanini hadi leo siku ya 15 bado tu Urusi haijateka mji mkuu Kyiv? Kwamba hii inaonyesha Urusi ali underrate vita hii, na kwamba Urusi ameshindwa vita. Binafsi naomba niwajibu hawa ndugu, Kama tutakubaliana kwa imani yangu ya Mizimu toka Mbutu Block E, Kigamboni niwakumbushe tu kwamba, Russia alilivamia Afghastan mwaka 1979 na kuondoka 1989, yaani aliikalia Afghanistan kimabavu kwa miaka 10 na alifanya hivyo baada ya Marekani Mjomba wake NATO kujaribu kuingilia vita kwakufadhili makundi ya ya Taliban ambayo makundi hayohayo baadae Marekani huyohuyo akatutangazia kuwa ni makundi ya Kigaidi.
Watu hawa wanaoipinga Urusi wanaenda mbali wanasema Marekani alivamia Iraq kwa siku chache tu akitokea Marekani, iweje Urusi iliyoko jirani na Ukraine inadhindwa kumaliza vita hadi leo? Majibu yangu kwao ni kwamba, Vita vya Marekani na Iraq vilipiganwa kutokea nchi vibaraka za Kuweit (669.9 km hadi mji mkuu Baghdad), Afghanistan (2,156 km hadi mji mkuu Baghdad) na Pakstan ( 2551 km hadi Baghdad). Havikupiganwa tokea moja kwa moja Marekani.
Vita vya Urusi na Ukraine vinapiganwa tokea Cremia (2,098.7 km hadi mji mkuu Kyiv), Donetsk (722.7 km hadi mji mkuu Kyiv) Luhansk (831.3 km hadi mji mkuu Kyiv) na Belarus (496.4 km hadi mji mkuu Kyiv). Izingatiwe na ieleweke kwamba, Marekani katika vita vya Uvamizi wake Iraq alikuwa na Ushirika wa Uingereza iliyovamia kutokea jiji la Basra, Ujerumani, Ufaransa, Australia, na ndugu wengine wa NATO. Lakini iliwachukua siku 23 hadi kuuteka mji mkuu Baghdad.
Je Urusi yuko na nani vitani, halafu hajapeleka jeshi lake halisi la Red Amy, anatumia majeshi ya nchi mpya zilizojitenga kama Cremia, Donetsk, Luhansk, Chechnia na wale Mercenary wa kirusi waitwao Wagner Group. Kuna majenerali wachache toka Vikosi maalumu Urusi wanaoongoza oparesheni lakini jeshi rasmi la Urusi liko standby kusubiri USA au NATO atie pua, Kilichomuondoa duniani Hitler watakiona live. Vita hivi vitaisha Urusi na Marekani wakikaa chini na kukubaliana yaani mazungumzo ya amani na si vinginevyo
Bado unasubiri nini?
Soma vitabu (Soft copy) vya Yericko Nyerere kwa 5,000/= tu kwa wiki kupitia App bora kabisa ya Vitabu Tanzania. Pakua sasa jisajili lipia wiki, mwezi au mwaka ujisomee vitabu vyote kupitia Play store Link 👉👉👉Yericko Nyerere App - Apps on Google Play
View attachment 2152327
Wao kama Ukraine ni nchi yenye katiba yake na taratibu zake; Urusi wao pia wana katiba yao na taratibu zao. Inakuwaje Urusi iipangie Ukraine namna ya kujiendesha?Hawauawi bila kosa! Wanauawa kwa kosa la kiongozi wao kutojali mstari mwekundu uliowekwa na PUTIN!
Sasa wewe unaamua kuvuka mstari mwekundu uliowekwa na Urusi unategemea Nini? Waswahili husema "mtoto akipokea wembe mpe"
Ndio! si unamuua huyo Muuaji, Ukraine wacha ale kichapo kama alivyoshiriki kiivamia Iraq, sasa mnyama kwao atulie tu. Huyu ni shoga wa US kila anapoenda US kuua watu nae anashiriki. Sasa wacha nae aone ubaya wa kuvamia nchi za watu. Russia tandika sana kima huyoKumbe ili kukomesha mauaji lazima na wewe uue?