Naendelea kuunga mkono Urusi; Hoja zangu hazijajibiwa

Dust
 
Unaandika mambo mengi namna hii kwenye mgogoro wa wazungu ambao haukuhusu ili hali DRC na sehemu nyingi za Africa bado ni battle fields . Embu tutumie vipaji vyetu kwa manufaa ya nchi yetu na bara letu.
 
Nawaoneaga huruma sana watu wanaosoma vitabu vya yeriko nyerere ni wanapoteza mda wao, kwenye vitabu vyake anaelezea mambo ya ujasusi laki in reality ana support udikteta mim kusoma vilivyoandikwa na author sababu hawaamin walichoandika
 

Umeandika "upupu" mtupu..

Nikuulize swali la mwisho ili kudhihirisha uzwazwa wako, na usipoelewa hapo nitathibisha kwamba wewe ni "bogus"..

Kwa nini nchi ya Egypt ilikuwa tayari kuingia vitani na nchi ya Ethiopia juu ya ujenzi na ujazwaji maji wa bwawa la kuzalisha umeme lililopewa jina GRAND ETHIOPIAN RECONNAISSANCE DAM (GERD) ?
 
WAAFRIKA WAPUMBAVU SANA, SIJAWAHI ONA WATU WAPIGA KELELE WAKATI KONGO WANAUANA, VIPI KUHUSU AFRIKA YA KATI, ETHIOPIA NA TIGRIS JE???

SO UNAJIONA MRUSI MWEUSI, ETI NIKO PAMOJA NA URUSI😂😂😂
 
WAAFRIKA WAPUMBAVU SANA, SIJAWAHI ONA WATU WAPIGA KELELE WAKATI KONGO WANAUANA, VIPI KUHUSU AFRIKA YA KATI, ETHIOPIA NA TIGRIS JE???

SO UNAJIONA MRUSI MWEUSI, ETI NIKO PAMOJA NA URUSI😂😂😂
Umeelewa makala hiii kweli ndugu?
 
Yeriko acha ni seme tu ww sio mtaalamu wa siasa za kimataifa ukiacha na tule tuvitabu twako uliyotuandika kwa kuangalizia kwenye movie.

Yani ww mrusi anau watu bila hatia unasema unamuunga mkono.
Yeriko ww ni mtu mmoja katili sana ila haujapata nafasi.
kwa hayo mabandiko yako ipo siku yatakuja kukughalimu. Kwa sababu dunia imeisha kurecod.
Kwanza saizi nataka kukichoma moto kitabu ambacho uliniuzia. Kwa siwezi kutunza Takataka ambayo imeandikwa na mtu ambaye hajali maisha ya watu.
 
WAAFRIKA WAPUMBAVU SANA, SIJAWAHI ONA WATU WAPIGA KELELE WAKATI KONGO WANAUANA, VIPI KUHUSU AFRIKA YA KATI, ETHIOPIA NA TIGRIS JE???

SO UNAJIONA MRUSI MWEUSI, ETI NIKO PAMOJA NA URUSI[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kwenye hii vita umeona ukraine wamekuja kuomba msaada afrika?
 
Hawauawi bila kosa! Wanauawa kwa kosa la kiongozi wao kutojali mstari mwekundu uliowekwa na PUTIN!
Sasa wewe unaamua kuvuka mstari mwekundu uliowekwa na Urusi unategemea Nini? Waswahili husema "mtoto akipokea wembe mpe"
 

Bizarre logic. Labda kama lengo ni kuuza vitabu.

Sasa kama adui mkubwa wa Urusi ni Marekani na nchi za Magharibi kwa nini Putin asipeleke mashambulizi huko angalau kwa mmoja wao? Badala yake anawaangamiza ndugu zake jirani wasio na uwezo wa kupambana naye?

Hicho kitisho kwa Marekani ni ujinga mtupu.

Ni kama wewe upate taarifa jirani yako unayemzidi ukwasi anashirikiana na adui yako aliye mbali na ukasikia kuna uwezekano akampatia bastola ya kujilinda. Basi uamue kuvamia nyumba yake na kujeruhi na kuua baadhi ya wanafamilia ukidai “kujilinda” na hatari inayoletwa “mlangoni” kwako!

There is no justification of invading, destroying and killing Ukrainians under current circumstances. Kwanza Warusi wana nasaba kubwa sana na Waukraine kuliko na nchi za Magharibi. Putin ana hakika US na EU wanaifeel deep Ukraine kama Warusi wenzake ndani ya Russia? Warusi wanaumia kuona jinsi ndugu zao huko Ukraine wanavyoangamizwa na kugeuzwa wakimbizi sababu ya US/NATO.

Think deep. Unafikiri Putin akirusha makombora kupiga UK au France, Marekani watatulia kama sasa? Anatishia Marekani wasitie pua? Unajua idadi ya Warusi waliokufa kuondoa majeshi ya Hitler nchini kwao (operation Barbarossa)? Karibu mara mbili ya Wajerumani (over 1 million casualties). The deadliest combat of the century.

Uzuri Warusi walikuwa na sababu ya msingi kabisa. It was a fight for existence. Walivamiwa na Hitler alipanga kuwaangamiza kabisa - kizazi chote (literally)! Urusi iliteseka sana lakini waliiokoa dunia toka kwa fashist Hitler at a very high human cost. Sijui kama walishukuriwa ipasavyo. Najua tishio la ukomunisti liliweka kiwingu baada ya hapo.

Leo hii ni military strategist mwendawazimu tu anayeweza kupanga marejeo ya scenario ya Barbarossa - tena kwa hypothetical postulation kama hii ya Putin. Barbarossa resistance was out of desperation: a real do or perish nightmare.
 
Wewe unamshangilia mwendawazimu mwingine. Mwaka 1939 kuna watu walimshangilia Hitler- unaona madhara aliyofanya kwa dunia. Uvamizi wa Urusi huko ukraine hauna sababu yoyote ya msingi kwa wakati huu, Ukraine si mwanachama wa Nato wala Jumuiya ya Ulaya. Putin anatamani kurudisha USSR ya zamani hasa baada ya kujitengenezea silaha kali za maangamizi na kujipatia fedha nyingi kutokana na bomba la mafuta na gesi linalopeleka ulaya. Kinachofanyika Ukraine ni mauaji ya raia wasiokuwa na hatia . Hapa unatakiwa uwe binadamu kwanza alafu -mauaji yakiisha ndiye uwe msomi aliyebobea kwenye maswala ya kimataifa.
 
Hawauawi bila kosa! Wanauawa kwa kosa la kiongozi wao kutojali mstari mwekundu uliowekwa na PUTIN!
Sasa wewe unaamua kuvuka mstari mwekundu uliowekwa na Urusi unategemea Nini? Waswahili husema "mtoto akipokea wembe mpe"
Wao kama Ukraine ni nchi yenye katiba yake na taratibu zake; Urusi wao pia wana katiba yao na taratibu zao. Inakuwaje Urusi iipangie Ukraine namna ya kujiendesha?
 
Kumbe ili kukomesha mauaji lazima na wewe uue?
Ndio! si unamuua huyo Muuaji, Ukraine wacha ale kichapo kama alivyoshiriki kiivamia Iraq, sasa mnyama kwao atulie tu. Huyu ni shoga wa US kila anapoenda US kuua watu nae anashiriki. Sasa wacha nae aone ubaya wa kuvamia nchi za watu. Russia tandika sana kima huyo



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…