Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hizo sikufanikiwa kuzipata mkuuNaomba kuuliza kama zitakuwepo na za kikatoliki
Asante ndugu yangu, hizo zinanibariki sana.Hizo sikufanikiwa kuzipata mkuu
Zote ninazo bei 20k pamoja na flashOya Meneja utaniandalia basi old bongo fleva mzee baba. Kuanzia 2014 kurudi nyuma
Boss mimi nipo kwenye za dini tuOya Meneja utaniandalia basi old bongo fleva mzee baba. Kuanzia 2014 kurudi nyuma
Unapoona kitu ni kizuri sio vibaya kushare kwa wenzako. Umedownload umetumia GB kibao so can not be free.Unafanya piracy takatifu sio.
Niliona basata wanasema ni kinyume cha sheria, mpaka upate idhini ya wamiliki wa nyimbo hizo.Unapoona kitu ni kizuri sio vibaya kushare kwa wenzako. Umedownload umetumia GB kibao so can not be free.
Kwenye dini hatupo hivyo yaani tushindwe kuabudu kwasababu ya BASATA. Nyimbo za dini ni bure mtu anachangia GB zilizotumika.Niliona basata wanasema ni kinyume cha sheria, mpaka upate idhini ya wamiliki wa nyimbo hizo.
Mikoani unatuma?Unapoona kitu ni kizuri sio vibaya kushare kwa wenzako. Umedownload umetumia GB kibao so can not be free.
Unaonekana ni mtu negativeNiliona basata wanasema ni kinyume cha sheria, mpaka upate idhini ya wamiliki wa nyimbo hizo.
Je Ina include nyimbo za kingereza kama za Hillsong Akina mercy chinwo?Kwenye dini hatupo hivyo yaani tushindwe kuabudu kwasababu ya BASATA. Nyimbo za dini ni bure mtu anachangia GB zilizotumika.
Mkoa naoweza kutuma ni Mbeya tu.Mikoani unatuma?
Hizo hapana mkuu wanguJe Ina include nyimbo za kingereza kama za Hillsong Akina mercy chinwo?
Mimi ni dini tu. Na hizi dini nashare tu kwa watumishi wa Mungu wala sio biashara yangu.Me nataka sweet ragae zoteee za Alaine,Morgan heritage, Jah cure etc unaweza?
Lakini unafahamu pia kuna mtu alitoa pesa mfukoni mwake akaenda kurekodi? kuna mtu alitenga muda wake akabuni mashairi, kuna mtu alibuni mdundo n.k?Unapoona kitu ni kizuri sio vibaya kushare kwa wenzako. Umedownload umetumia GB kibao so can not be free.