Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Kwa hiyo mfano ukimpatia mtu Playlists ya nyimbo za P didy unawaona BASATA? Tuwe tunatumia akili kufikiri.Lakini unafahamu pia kuna mtu alitoa pesa mfukoni mwake akaenda kurekodi? kuna mtu alitenga muda wake akabuni mashairi, kuna mtu alibuni mdundo n.k?