Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

Lakini unafahamu pia kuna mtu alitoa pesa mfukoni mwake akaenda kurekodi? kuna mtu alitenga muda wake akabuni mashairi, kuna mtu alibuni mdundo n.k?
Kwa hiyo mfano ukimpatia mtu Playlists ya nyimbo za P didy unawaona BASATA? Tuwe tunatumia akili kufikiri.
 
Good idea. Kikubwa isiote nyasi ile njia
Sio biashara kiukweli hapa nafanya kazi ya Mungu tu. Nataka kushare Playlists ya nyimbo za dini ambazo najua zitawabariki walio kwama walio Kosa tumaini wanapitia magumu. Siwezi nikawa nimejifungia chumbani nasikiliza mwenyewe.
 
Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza.

Sifa ya Playlist
Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza.
Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako.

Piga hii namba 0687746471 haraka utakapo hitaji.
Package nzima 10000 TSH.
Aisee, whatsap unatuma!? Nataka nikupe list ya nyimbo ninazotaka.
Issue ya pili naomba downloader nzuri maana hii ninayotumia inagoma inasema YouTube hairuhusu.
Nipo tayari kuchangia kama utanitumia pia app
 
Nitafute Whatsapp nikupe hiyo app: 0687 746 471
Utadownload nyimbo zote mpaka utakoma
 
Kwenye dini hatupo hivyo yaani tushindwe kuabudu kwasababu ya BASATA. Nyimbo za dini ni bure mtu anachangia GB zilizotumika.
Umewezaje kuwa meneja wa makampuni halafu unashindwa kujua kuwa ni kosa kisheria hicho unachofanya? Sheria haitambui huo utetezi wako wa kijinga. Wasanii wa Tanzania wanashindwa hata kujilipia matibabu kwa sababu ya wezi wa kazi zao kama wewe. Moderator futeni huu uzi wenye nia ovu ya kupora haki za wanamuziki wa injili. Active
 
ACHA WIVU USIJIFANYE KAMA HUELEWI HIKI NACHO KIFANYA. NIMEKWAMBIA NI KAZI YA MUNGU NASHARE WATU WASIKILIZE KAZI ZA MUNGU. AU ULITAKA NIKAJIANIKE KARIAKOO NA PC WATU WAJE WACHUKUE BURE:

MBONA BINADAMU WENGINE MNAKUA NA ROHO MBAYA KIASI HIKI.

NOTE: Sio biashara nafanya kazi ya Mungu tu. Nataka kushare Playlists ya nyimbo za dini ambazo najua zitawabariki walio kwama walio Kosa tumaini wanapitia magumu. Siwezi nikawa nimejifungia chumbani nasikiliza mwenyewe.
 
Umetoka kua meneja wa makampuni mpk kua muweka nyimbo kwny flash?
Kufanya kazi ya Mungu sio jambo baya. Na usidharau waweka nyimbo kwenye Flash they are getting experience so kuna siku watainuka they gonna make tones of money.
 
Umewezaje kuwa meneja wa makampuni halafu unashindwa kujua kuwa ni kosa kisheria hicho unachofanya? Sheria haitambui huo utetezi wako wa kijinga. Wasanii wa Tanzania wanashindwa hata kujilipia matibabu kwa sababu ya wezi wa kazi zao kama wewe. Moderator futeni huu uzi wenye nia ovu ya kupora haki za wanamuziki wa injili. Active
Unaposema "wasanii wa Tanzania" umejuaje mimi nawapa nyimbo za Tanzania. Wewe ndio unatakiwa ufundishwe kufikiri kabla ya kuanza kuandika. Je kama nawapa nyimbo za Hillsongs natakiwa nifike BASATA kuomba kibali?? Ukiulizwa ujitetee kuhusu nyimbo nazoshare za taifa lingine utaweza kutoa huo ushahidi BASATA.
 
Acha ubishi wa kipuuzi. Jua unachofanya ni kosa kisheria. Hata zingekuwa nyimbo za Kazakhstan bado unachofanya hakikubaliki popote.
 
ACHA WIVU USIJIFANYE KAMA HUELEWI HIKI NACHO KIFANYA. NIMEKWAMBIA NI KAZI YA MUNGU NASHARE WATU WASIKILIZE KAZI ZA MUNGU. AU ULITAKA NIKAJIANIKE KARIAKOO NA PC WATU WAJE WACHUKUE BURE:

MBONA BINADAMU WENGINE MNAKUA NA ROHO MBAYA KIASI HIKI.

NOTE: Sio biashara nafanya kazi ya Mungu tu. Nataka kushare Playlists ya nyimbo za dini ambazo najua zitawabariki walio kwama walio Kosa tumaini wanapitia magumu. Siwezi nikawa nimejifungia chumbani nasikiliza mwenyewe.
Acha upumbavu wa kumhusisha Mungu kwenye uharamia wa kazi za watu. Watu wamekesha studio kutengeneza nyimbo huku wakitumia gharama kubwa kusambaza halafu wewe unakuja na utetezi wa kishamba kwamba ni kazi ya Mungu. Tangu lini Mungu akaruhusu uharamia? Wewe inatakiwa ufuatiliwe na ufanywe mfano kwa maharamia wengine.
 
Acha ubishi wa kipuuzi. Jua unachofanya ni kosa kisheria. Hata zingekuwa nyimbo za Kazakhstan bado unachofanya hakikubaliki popote.
Waache wenye mioyo safi nao wachangie kwenye hii mada. Hapa kila mtu kesha kijua ulichojaza ndani ya moyo wako.
 
Acha upumbavu wa kumhusisha Mungu kwenye uharamia wa kazi za watu. Watu wamekesha studio kutengeneza nyimbo huku wakitumia gharama kubwa kusambaza halafu wewe unakuja na utetezi wa kishamba kwamba ni kazi ya Mungu. Tangu lini Mungu akaruhusu uharamia? Wewe inatakiwa ufuatiliwe na ufanywe mfano kwa maharamia wengine.
Huwezi kunichafua mkuu. Wala huwezi kuniambukiza rangi ya roho yako. Wewe endelea kuandika negative sisi tutaendelea kuandika positive. Kazi ya Mungu imeshaanza huwezi kuizuia. Mungu kesha amua hilo lifanyike. Mwache Mungu aitwe Mungu.
 
Nimejaza nia safi ya kuzuia uharamia wa kazi za wengine waliotoa jasho.
Wewe unaweza kulinda kazi za Hillsongs, unaweza kulinda kazi za P Diddy, Unaweza kulinda kazi za Tasha. Kazi za nyimbo hazilindwi kwa kutumia bunduki na Mishale.
 
Package nzima 10000 TSH.

NOTE: Sio biashara kiukweli hapa nafanya kazi ya Mungu tu. Nataka kushare Playlists ya nyimbo za dini ambazo najua zitawabariki walio kwama walio Kosa tumaini wanapitia magumu. Siwezi nikawa nimejifungia chumbani nasikiliza mwenyewe.

Kiukweli mzigo umetulia sana.
Ahsante kwa taarifa...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom