Kuna siku utapewa kesi ya wiziMkuu hilo Mimi siwezi kufanya!!
Ungekuwa na Leval ya degree wala usingelalamika ila wewe unacheti cha degree ndiyo maana unashindwa kujitambua mimi nina certificate tu ila mtu hawezi kunichezea .Elimu yangu ni level ya degree ndio ni ndogo lakini kati ya hawa wengine wanne moja tu ana CPA waliobaki tupo level moja. Of course sina mpango wa kuendelea kusoma hadi uchumi ukae sawa.
jiongeze nenda kwa wazee pale mkata handeni kwa msisili nenda kajiongeze umfunike akupe mara 10 ya sasa narudia jiongezeHabari Wana jukwaa?
Kampuni ninayofanyia kazi nina miaka mitano kasoro Sasa. Wakati naanza kazi kulikuwa hakuna hesabu. Iliyowahi kufungwa maana kazi yangu ni ya kihasibu. Nimepambana kwasasa kuna hesabu zilizokaguliwa za miaka sita.
Mwanzoni tulikubaliana salari kiasi kwa maelewano kwamba nitaongezewa. Lakini baada ya pale kazi zimekuwa nyingi lakini Boss akagoma kabisa kuongeza.
Nilipoona kazi zinanizidi na mshahara ni mdogo nikamwambia aniongezee mtu mmoja. Akamamleta mtu akampa mshahara Mara mbili ya mshahara wangu lakini jamaa hakuwa na muda maana anachelewa kufika kazini au akaamua haji ndani ya wiki anaweza kuja Mara tatu au mbili hivyo kazi ikawa bado inaniangalia Mimi tu na jamaa kila akija ni mgeni hajui kinachoendelea. Sikutaka hata kumsemea kwa Boss niliendelea kukomaa na hali yangu.
Mwajiri akaamua kumwajiri mzee mmoja rafiki yake akamlipa Mara tatu ya mshahara wangu na nyumba akampa lakini Mimi Wala hataki kuniongezea hivyo nikawa namuelekeza huyu mzee ambaye kimsingi alipewa kuwa Boss wangu.
Ikapita muda akamwajiri mtu mwingine raia wa India akamlipa Mara 6 ya mshahara wangu, nyumba na gari.
Juzi tu akamwajiri mtu mwingine naye ni mzee akamlipa Mara mbili ya mshahara wangu!
Sasa tupo watano wao ni over 40 Mimi ni under 40 wote wananizidi mshahara lakini kila kitu wananitegemea Mimi niwaelekeze.
Wao wenyewe wananiambia nikosana nini na mwajiri mbona ananifanyia hivyo!
Kiukweli Mimi nimevunjika moyo kabisa na sielewi kinachoendelea na kwanini mwajiri ananifanyia hivyo!
Naona ule msemo usemao akufukuzae hakuambii toka.
Kweli natamani niondoke lakini nategemewa na familia ya mke na watoto kadhaa naona kuacha kazi kabla sijapata kazi naona nitaionea familia yangu.
Ebu wadau mniambie kwanza kisaikolojia huyu mwajiri ananipa ujumbe gani Mimi? Na bado kila kitu ananiambia nifanye yaani haoneshi kama hanitaki.
Pia nipeni ushauri niweze kufanya maamuzi sahihi! Please!!
Chukua likizo ya miezi miwili (unafidia likizo), baada ya mwezi mmoja anaweza kugundua umuhimu wako na hapo unaweza kupata nguvu ya ku-bargain.Sio kidogo. Imagine ndani ya hiyo miaka sijawahi kwenda likizo nakomaa tu.
Sawa akinipa bila kuiba haina shida! Ila sitaki cha mtuKuna siku utapewa kesi ya wizi
Kwa kifupi jamaa hakutaki
Tafuta kazi kwingine haraka uachane nae
Nakwambia Neno hili lishike sana kijana. Never overestimate your importance" that's typical egoism. Acha kujiona we ni Bora sana hata kama ndani mwako au kiuchapakazi unaona hivyo. Jishushe piga kazi tena zidisha zaidi ya hapo ulipokuwa unafanya. Waelekeze na wasaidie zaidi Wote wanataka msaada wako. Chukua unachopewa kwa kushukuru, mweshimu boss wako never ask him again for inclement, cheka Naye, furahi Naye.
Na Mungu ataushibisha moyo wako.
Hahahajiongeze nenda kwa wazee pale mkata handeni kwa msisili nenda kajiongeze umfunike akupe mara 10 ya sasa narudia jiongeze
AsantePambana tu wengine wanataman nafac uliyonayo ,jipange vizur kwanza ndio uondoke.
HahahaUngekuwa na Leval ya degree wala usingelalamika ila wewe unacheti cha degree ndiyo maana unashindwa kujitambua mimi nina certificate tu ila mtu hawezi kunichezea .
Hahaha! Hapana!Una access ya bank account au safe ya hela?
Vijana wa nchi waoga sana...mimi hunitesi kiasi hicho ningejioanga kitambo na nitaandika barua ya kuacha kazi ndani ya 24hrs ili ujue umuhimu wa nafasi yangu .....pua pua in Tivu ake voiceJiajiri
Nitazingatia ushauri wako mkuuMkuu ushauri wa bure, Unapokuwa ndani ya Ajira ni rahisi sana kupata ajira nyengine.
Wewe wekeza muda sasa hv kupata chimbo jengine naimani utapata Tu tena Kwa haraka.
Maana kazi zipo nyingi na kila siku zinatangazwa, wewe pambana kila Kona utapata Tu.
Ukiachana na kazi zinazotangazwa mitandaoni Jaribu pia kwenye magazeti na majarida yanayotelewa free mara nyingi huwa wanatangaza ajira na wanaozipatia ni wachache sana Mimi nimezibumia sana zile kuliko hizi za mitandaoni.
Kuna rafiki yangu aliajiriwa sehemu kwa mshahara mdogo kwelikweli. Kapiga Sana kazi, tatizo la bosi wake likawa ujuaji. Yaani vitu vya kiprofeshen bosi anaingilia halafu yakiharibika Lawama zinarudishwa kwa jamaa. Siku moja wakabishana Sana, mwajiriwa akakataa kufanya jambo alilopangiwa sababu lilikuwa linaenda kuharibika mbeleni.Mkuu Mimi pia nawaza kama Wewe. Lakini naona kama treatment zake kwangu haioneshi maana juzi kati nilipata wazo fulani la kuandaa sehemu ya kuiweka familia yangu incase of loss of employment nikamuomba kamkopo akanipa japo kidogo lakini pia hakuniambia nianze marejesho lini!
Kwa Hali ya maisha tuliyonayo siyo wakati wa kumtingisha bosi. Unaweza kumtingisha kibarua kikaenda moja kwa moja. Kwa Sasa ukipiga simu mahali unapata mfanyakazi mwenye uzoefu.Mzee baba hujawah kwenda likizo for 5yrs? That too far.. amekuona ww ndio punda wake. Mtingishe kidogo