Nafanya kazi lakini nahisi kama nimeshafukuzwa

Mshakubali kuolewa, kaeni kwa kutulia.
 
Elimu yangu ni level ya degree ndio ni ndogo lakini kati ya hawa wengine wanne moja tu ana CPA waliobaki tupo level moja. Of course sina mpango wa kuendelea kusoma hadi uchumi ukae sawa.
Ungekuwa na Leval ya degree wala usingelalamika ila wewe unacheti cha degree ndiyo maana unashindwa kujitambua mimi nina certificate tu ila mtu hawezi kunichezea .
 
Pambana tu wengine wanataman nafac uliyonayo ,jipange vizur kwanza ndio uondoke.
 
jiongeze nenda kwa wazee pale mkata handeni kwa msisili nenda kajiongeze umfunike akupe mara 10 ya sasa narudia jiongeze
 
Nakwambia Neno hili lishike sana kijana. Never overestimate your importance" that's typical egoism. Acha kujiona we ni Bora sana hata kama ndani mwako au kiuchapakazi unaona hivyo. Jishushe piga kazi tena zidisha zaidi ya hapo ulipokuwa unafanya. Waelekeze na wasaidie zaidi Wote wanataka msaada wako. Chukua unachopewa kwa kushukuru, mweshimu boss wako never ask him again for inclement, cheka Naye, furahi Naye.
Na Mungu ataushibisha moyo wako.
 
Pole sana Mkuu. Ungekuwa umejaribu ku-disclose kiasi cha mashahara unaopata na idadi ya watoto/wategemezi ulionao angalau tungepata fursa nzuri zaidi ya kutoa ushauri. Maana tunaweza kutoa ushauri sasa ukawa irrelevant kidogo..
 

Sawa Mkuu! Ushauri wenye upako kabisa. Binafsi nilishajisemea hivyo huku nikiendelea kutafuta sehemu nyingine.
 
Vijana wa nchi waoga sana...mimi hunitesi kiasi hicho ningejioanga kitambo na nitaandika barua ya kuacha kazi ndani ya 24hrs ili ujue umuhimu wa nafasi yangu .....pua pua in Tivu ake voice
 
Mkuu ushauri wa bure, Unapokuwa ndani ya Ajira ni rahisi sana kupata ajira nyengine.

Wewe wekeza muda sasa hv kupata chimbo jengine naimani utapata Tu tena Kwa haraka.
Maana kazi zipo nyingi na kila siku zinatangazwa, wewe pambana kila Kona utapata Tu.

Ukiachana na kazi zinazotangazwa mitandaoni Jaribu pia kwenye magazeti na majarida yanayotelewa free mara nyingi huwa wanatangaza ajira na wanaozipatia ni wachache sana Mimi nimezibumia sana zile kuliko hizi za mitandaoni.
 
Nitazingatia ushauri wako mkuu
 
Kuna rafiki yangu aliajiriwa sehemu kwa mshahara mdogo kwelikweli. Kapiga Sana kazi, tatizo la bosi wake likawa ujuaji. Yaani vitu vya kiprofeshen bosi anaingilia halafu yakiharibika Lawama zinarudishwa kwa jamaa. Siku moja wakabishana Sana, mwajiriwa akakataa kufanya jambo alilopangiwa sababu lilikuwa linaenda kuharibika mbeleni.
Bosi akawaita wafanyakazi wengine eti wamtetee bosi. Jamaa akaamua kuacha kazi ingawa naye pia hakuwa na uchumi mzuri lakini kajitosa hivyohivyo.

Baada ya muda bosi kaanza kumpigia simu jamaa anamwomba arudi kazini, jamaa akagoma. Anamjua bosi wake hashauriki na habadiriki. Mpaka Leo bado yupo mtaani ana familia mdogomdogo.
 
Mzee baba hujawah kwenda likizo for 5yrs? That too far.. amekuona ww ndio punda wake. Mtingishe kidogo
Kwa Hali ya maisha tuliyonayo siyo wakati wa kumtingisha bosi. Unaweza kumtingisha kibarua kikaenda moja kwa moja. Kwa Sasa ukipiga simu mahali unapata mfanyakazi mwenye uzoefu.
Ukitaka kumtingisha uwe umejipanga kwelikweli, yaani uwe tayari kupokea matokeo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…