Fantastic boy
Member
- May 10, 2022
- 15
- 16
Habari za muda huu ndugu zangu
Naitwa elikana, ni kijana mwenye umri wa miaka 24 ninafanya kazi ya sanaa za simulizi kwa njia za sauti "Storyteller" pia nafanya "Voice over", "Dabin voice" pamoja na fact mbalimbali za maisha,mapenzi n.K
▪︎elimu yangu mimi ni kidato cha nne na sijasomea vitu hivyo ila namshukuru mungu ni kipaji nilichokuwa nacho na uzoefu wangu wa kazi nilibahatika kufanya kazi na moja ya kampuni kubwa tu hapa nchini ya simulizi., lakini kwa muda huu sipo nao kutokana na maslahi ambayo hayakuwa makubaliano kisa vigezo vya kutokuwa na elimu zaidi ya darasani, japo kazi nilizifanya kwa weledi na mpaka sasa zinaendelea kufatiliwa mitandaoni.
■ lengo naomba wanajamii foram kwa yeyote atakaehitaji tufanye nae kazi iwe simulizi,voice over,fact mbalimbali alkadhalika kufanya dabin za movie anicheki kupitia +255788861519 au email @elnaifantastic@gmail.Com awe yupo tayari na awe mtu wa kuthamini jasho la mtu {utu} ili sote tupate kuyafurahia maisha..,
🙏 Ahsanteni sana..!! 🙏