tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
sayansi darasa la sitaChukua udongo umba/finyanga mdogo wako mwingine vile utataka awe !
Majitu mengine majinga kabisa, hujui kwa me balehe ni ni 14_17 inategemea na mazingira, vyakula hali ya hewa nk ?
Nini unachoshangaa hapa ? Siku utakuja kutuambia mdogo wangu ameota mavuzi nimnyoeje ?
Nb .. hayo madadiliko hayahitaji ushauri huo ni ukuaji ,,,,, sana sana anahitaji close monitoring tu , maana hiki ni kipindi kibaya kwake kujichanganya ovyo na vitu mfano pombe, madem, peer groups n.k
Vipi na wewe dada mtu, hauhitaji msaada wowote?Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu
Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na majirani wamshangae sana na kumwambia kuwa amekua.
Sasa hizi feedback za watu juu ya mabadiliko hayo ndizo zinazomtatiza. Wakati mwingi ananyamaza kimya, anashindwa kuchangamana na watu so huwa anajitenga muda wote, hata ukijaribu kumsemesha anaitikia kwa sauti ya chini tena huku akiwa ameinamisha kichwa chini, hawezi hata kutazamana na watu kisa tu kuambiwa hivyo kuwa anasauti kubwa au kuwa amekua.
Matokeo ya yeye kuji-isolate kunamfanya aanze kudhoofika, anakosa amani hawi huru tena. Namimi hiki kinaniumiza natamani sana kumuona akiwa katika hali nzuri ya amani na ya uhuru na kwa asili yeye ni mchangamfu sana ila sasahivi amekua wa tofauti mno na sauti yake licha ya kuwa imekuwa nzito na kubwa ila ni nzuri mno na kidogo akiwa namimi angalau anakuwa huru kidogo, sasa nitakaa nae mpaka lini?.
Nafanyaje ili aweze kuekubailiana na hii hali au kuendana na hayo mabadiliko maana anakoelekea anaweza kugeuka na kuanza kujenga tabia ambazo zinaweza kuja kuwa hatarishi baadae maana tayari kuna watu hawezi hata kusalimiana nao. Naombeni ushauri
Kuna MSEMO wetu tukikutana kupiga pombe na washikaji Kila siku jioniiiWakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu

Haya mawazo ya kihadzabe hadzabe.Mtafutie demu aichape sawasawa aibu atatoa na atakua na ujasiri!
Ni maoni tu yanaweza kupingwa!
Chaaba na dudukwe hawana mawazo ya kizinziHaya mawazo ya kihadzabe hadzabe.
😊
Binadamu kibaolojia ni mnyama Kama Mbuzi , n.k kwahiyo Chaaba mawazo ya uzinzi anayo Kama walivyo Wanyama wengineChaaba na dudukwe hawana mawazo ya kizinzi
Ndiyo maana wanaishi kwa upendo sana
Nili maanisha mawazo ya ki primitive era 😊Chaaba na dudukwe hawana mawazo ya kizinzi
Ndiyo maana wanaishi kwa upendo sana