Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hapa Holland hali ni shwariii mzee 😂 😆 hapa napiga cocktail ya madafu na FOUR COUSIN.Vp kuhusu ganja hapo sheria zao
au wao ni gambe tu!

Mama yako ndio GtNa wewe ni Great Thinker?
Wewe ulipofikia kipindi kama hicho walikufanyiaje wakubwa zako? Ukishajua ndo umfanyie huyo kijana bila ukiingia kwenye mitandao huku!Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu
Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na majirani wamshangae sana na kumwambia kuwa amekua.
Sasa hizi feedback za watu juu ya mabadiliko hayo ndizo zinazomtatiza. Wakati mwingi ananyamaza kimya, anashindwa kuchangamana na watu so huwa anajitenga muda wote, hata ukijaribu kumsemesha anaitikia kwa sauti ya chini tena huku akiwa ameinamisha kichwa chini, hawezi hata kutazamana na watu kisa tu kuambiwa hivyo kuwa anasauti kubwa au kuwa amekua.
Matokeo ya yeye kuji-isolate kunamfanya aanze kudhoofika, anakosa amani hawi huru tena. Namimi hiki kinaniumiza natamani sana kumuona akiwa katika hali nzuri ya amani na ya uhuru na kwa asili yeye ni mchangamfu sana ila sasahivi amekua wa tofauti mno na sauti yake licha ya kuwa imekuwa nzito na kubwa ila ni nzuri mno na kidogo akiwa namimi angalau anakuwa huru kidogo, sasa nitakaa nae mpaka lini?.
Nafanyaje ili aweze kuekubailiana na hii hali au kuendana na hayo mabadiliko maana anakoelekea anaweza kugeuka na kuanza kujenga tabia ambazo zinaweza kuja kuwa hatarishi baadae maana tayari kuna watu hawezi hata kusalimiana nao. Naombeni ushauri
Of course mama yangu ni Great ThinkerMama yako ndio Gt
✔️Kama una ukaribu nae ongea nae na umweleze Sayansi iliyo nyuma ya jambo analokutana nalo(kuongezeka sauti) kwamba ni jambo la kawaida katika ukuaji na kila mwanaume hupitia.Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu
Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na majirani wamshangae sana na kumwambia kuwa amekua.
Sasa hizi feedback za watu juu ya mabadiliko hayo ndizo zinazomtatiza. Wakati mwingi ananyamaza kimya, anashindwa kuchangamana na watu so huwa anajitenga muda wote, hata ukijaribu kumsemesha anaitikia kwa sauti ya chini tena huku akiwa ameinamisha kichwa chini, hawezi hata kutazamana na watu kisa tu kuambiwa hivyo kuwa anasauti kubwa au kuwa amekua.
Matokeo ya yeye kuji-isolate kunamfanya aanze kudhoofika, anakosa amani hawi huru tena. Namimi hiki kinaniumiza natamani sana kumuona akiwa katika hali nzuri ya amani na ya uhuru na kwa asili yeye ni mchangamfu sana ila sasahivi amekua wa tofauti mno na sauti yake licha ya kuwa imekuwa nzito na kubwa ila ni nzuri mno na kidogo akiwa namimi angalau anakuwa huru kidogo, sasa nitakaa nae mpaka lini?.
Nafanyaje ili aweze kuekubailiana na hii hali au kuendana na hayo mabadiliko maana anakoelekea anaweza kugeuka na kuanza kujenga tabia ambazo zinaweza kuja kuwa hatarishi baadae maana tayari kuna watu hawezi hata kusalimiana nao. Naombeni ushauri
uje DMWakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu

Bazazi katika ubora wake!Ni kama vibinti vikianza kuota matiti vipo ambavyo hufanya jitihada za kuyaficha
nJe ya mada,ulishawah kuona vile vibinti vichafu afu vina saa sita afu unakuta nguo yake blauzi imechafuka hapo kwenye saa 6 tu
Kuna mtu alikufa alipofika mbinguni akaona saa nyingi za mshale ukutani, akamuuliza malaika hizi za nini ?Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu
Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na majirani wamshangae sana na kumwambia kuwa amekua.
Sasa hizi feedback za watu juu ya mabadiliko hayo ndizo zinazomtatiza. Wakati mwingi ananyamaza kimya, anashindwa kuchangamana na watu so huwa anajitenga muda wote, hata ukijaribu kumsemesha anaitikia kwa sauti ya chini tena huku akiwa ameinamisha kichwa chini, hawezi hata kutazamana na watu kisa tu kuambiwa hivyo kuwa anasauti kubwa au kuwa amekua.
Matokeo ya yeye kuji-isolate kunamfanya aanze kudhoofika, anakosa amani hawi huru tena. Namimi hiki kinaniumiza natamani sana kumuona akiwa katika hali nzuri ya amani na ya uhuru na kwa asili yeye ni mchangamfu sana ila sasahivi amekua wa tofauti mno na sauti yake licha ya kuwa imekuwa nzito na kubwa ila ni nzuri mno na kidogo akiwa namimi angalau anakuwa huru kidogo, sasa nitakaa nae mpaka lini?.
Nafanyaje ili aweze kuekubailiana na hii hali au kuendana na hayo mabadiliko maana anakoelekea anaweza kugeuka na kuanza kujenga tabia ambazo zinaweza kuja kuwa hatarishi baadae maana tayari kuna watu hawezi hata kusalimiana nao. Naombeni ushauri
Hii nchi watu wamekua laini laini sana!Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu

HahahahaaaaaBazazi katika ubora wake!
Kama nakuona vile unavyovuta picha halisi ya hako kabinti...!!
njia pekee ni kumpa uhuru wa kuchangamana na vijana wa kiume lika lake 16,17,18 nk kwauangalizi mkubwa.Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu