Ni mwana saikoloji au?Mkabidhi kwa Wanu Afidhi.
Ni mwana saikoloji au?Mkabidhi kwa Wanu Afidhi.
Mimi nipo mitaa katika jiji la Amsterdam.Ushauri
iache nature ifanye kazi yake
mkiingilia tu huyo dogo mtamuharibu ukuaji wake
BLACKTIGER
Kwa sasa nipo kingstone JAMAICA.
Vp kuhusu ganja hapo sheria zaoMimi nipo mitaa katika jiji la Amsterdam.
Hapa wa Dutch Wana usemi wao ""God made Dutch but people made Holland""
Wewe unajitaka au hujitaki, Huwezi kupinga namna hiyo,pumbavu sana wewe Mamayeeee!Haya mawazo ya kihadzabe hadzabe.
😊
Mkuu Umetudhalilisha na kutuvua nguo hadhalani wana JF kwa kweli.Watafute wataalam wa saikolojia
Hapa utapata porojo tu
Nisamehe tu MkuuMkuu Umetudhalilisha na kutuvua nguo hadhalani wana JF kwa kweli.
Hivi kwa nini JF imejaa watu wenye majibu machafu kama yako? Huwa mnafaidika nini kujibu watu kwa ukali hivi?Chukua udongo umba/finyanga mdogo wako mwingine vile utataka awe !
Majitu mengine majinga kabisa, hujui kwa me balehe ni ni 14_17 inategemea na mazingira, vyakula hali ya hewa nk ?
Nini unachoshangaa hapa ? Siku utakuja kutuambia mdogo wangu ameota mavuzi nimnyoeje ?
Nb .. hayo madadiliko hayahitaji ushauri huo ni ukuaji ,,,,, sana sana anahitaji close monitoring tu , maana hiki ni kipindi kibaya kwake kujichanganya ovyo na vitu mfano pombe, madem, peer groups n.k
Mpeleke madrasa yoyote karibu, kuna mafunzo ya Karate na mbinu za kujihami.Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu
Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na majirani wamshangae sana na kumwambia kuwa amekua.
Sasa hizi feedback za watu juu ya mabadiliko hayo ndizo zinazomtatiza. Wakati mwingi ananyamaza kimya, anashindwa kuchangamana na watu so huwa anajitenga muda wote, hata ukijaribu kumsemesha anaitikia kwa sauti ya chini tena huku akiwa ameinamisha kichwa chini, hawezi hata kutazamana na watu kisa tu kuambiwa hivyo kuwa anasauti kubwa au kuwa amekua.
Matokeo ya yeye kuji-isolate kunamfanya aanze kudhoofika, anakosa amani hawi huru tena. Namimi hiki kinaniumiza natamani sana kumuona akiwa katika hali nzuri ya amani na ya uhuru na kwa asili yeye ni mchangamfu sana ila sasahivi amekua wa tofauti mno na sauti yake licha ya kuwa imekuwa nzito na kubwa ila ni nzuri mno na kidogo akiwa namimi angalau anakuwa huru kidogo, sasa nitakaa nae mpaka lini?.
Nafanyaje ili aweze kuekubailiana na hii hali au kuendana na hayo mabadiliko maana anakoelekea anaweza kugeuka na kuanza kujenga tabia ambazo zinaweza kuja kuwa hatarishi baadae maana tayari kuna watu hawezi hata kusalimiana nao. Naombeni ushauri
😂😂😂😂😂Kuna wa sis wangu huku anajisikia raha sauti kubadilika naona vishangazi chipukizi vinamtega..!!
Mpumbavu ww na mleta mada, unaletaje mada ya kijinga hivi kwa GT ? Siku utaleta mada nasikia kuharisha nifanyeje ? 🗑 🚮Hivi kwa nini JF imejaa watu wenye majibu machafu kama yako? Huwa mnafaidika nini kujibu watu kwa ukali hivi?
Na wewe ni Great Thinker?Mpumbavu ww na mleta mada, unaletaje mada ya kijinga hivi kwa GT ? Siku utaleta mada nasikia kuharisha nifanyeje ? 🗑 🚮
😊😊Wewe unajitaka au hujitaki, Huwezi kupinga namna hiyo,pumbavu sana wewe Mamayeeee!
😁😁😁