Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

Jambo dogo sana hilo mjengee kujiamini, nikiwa na maana kwamba msaidie kumtafutia binti amkule, najua huwezi kushindwa sababu wewe ni binti pia hivyo unakuwa na ushawishi mkubwa kwa wenzako, akiisha kumkula tu teari atajiona yeye ni kidume na maneno anayoambiwa kwamba amekuwa ataona yanahaki kutamkwa kwake.
 
Hivi kwa nini JF imejaa watu wenye majibu machafu kama yako? Huwa mnafaidika nini kujibu watu kwa ukali hivi?
 
Mchanganye na watu wa rika lake pia aone ni kitu cha kawaida,ongea nae na wala msilikuze jambo kiasi cha yeye cha kukosa amani au kuona ni jambo kubwa kihivyo.

Wakati nipo kwenye hiyo stage nilikuwa boarding school,na sikumbuki kuona kuwa ni jambo la ajabu kwa asilimia kubwa ya wanafunzi wenzangu.Tena tulikuwa proud nalo sana kiasi cha wale wasiokuwa na vi"bass"๐Ÿ˜€...kufake ili waonekane wamekua.Wengi tukawa tunajivuna na kujazana sauti ya nne wakati wa kuimba๐Ÿ˜€ kwaya.

Mueleze hiyo ni nini,na inafaida gani kwake,mfanye ajivunie kukua.
 
Mpeleke madrasa yoyote karibu, kuna mafunzo ya Karate na mbinu za kujihami.
 
Unasema wewe Dada mtu kwani kuna dada mbuzi. Jarbu kumpa papuchi au mtafutie Demu atoe aibu asije kuamia kwenye upinde.
 
Nilidhani ameanza kuota na Maziwa kumbe ni sauti tu kuwa nzito...
 
Akishambuliwa na Upara + mashambulizi mengine ya aibu atakufa huyo.
 
Hivi kwa nini JF imejaa watu wenye majibu machafu kama yako? Huwa mnafaidika nini kujibu watu kwa ukali hivi?
Mpumbavu ww na mleta mada, unaletaje mada ya kijinga hivi kwa GT ? Siku utaleta mada nasikia kuharisha nifanyeje ? ๐Ÿ—‘ ๐Ÿšฎ
 
Cha msingi kuwa makini asiwe shoga awe Kitombi tu! Hakikisha wiki aipiti bila kumuona anazunguka na kidemu na mrejesho akupe amekitafuna hicho kidemu Lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ