Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

Wewe ulipofikia kipindi kama hicho walikufanyiaje wakubwa zako? Ukishajua ndo umfanyie huyo kijana bila ukiingia kwenye mitandao huku!
Kama hujafanyiwa chochote na upo hivyo Leo usimsumbue kijana wa watu tu eti ulisoma au kusikia mahala
Tumeelewana sijui??
 
βœ”οΈKama una ukaribu nae ongea nae na umweleze Sayansi iliyo nyuma ya jambo analokutana nalo(kuongezeka sauti) kwamba ni jambo la kawaida katika ukuaji na kila mwanaume hupitia.
βœ”οΈKwamba hali ya kuongezeka sauti kuwa kubwa zaidi huwa mwanzoni tu baadae sauti hukaa sawa sio kukwaruza tena japo huwa ya kiume.
3βœ”οΈMpe mfano ya watu wa karibu au ndugu ambao walikutana na jambo hilo na hawakuwa na shida
βœ”οΈUsijaribu kumdhalilisha au kumpa maneno ya kejeli katika hali hio.
βœ”οΈMtafutie marafiki au ndugu anaoelewana nao hasa waliomzidi kidogo au rika moja ili wamueleweshe na kumfanya azoee hali hio
NB:Suala la kuona aibu sio tu kwa sababu ya suti bali hata homoni tu huchangia kuwa katika hali hio hivyo asitie shaka litaisha.
 
uje DM
 
Ni kama vibinti vikianza kuota matiti vipo ambavyo hufanya jitihada za kuyaficha

nJe ya mada,ulishawah kuona vile vibinti vichafu afu vina saa sita afu unakuta nguo yake blauzi imechafuka hapo kwenye saa 6 tu
Bazazi katika ubora wake!
Kama nakuona vile unavyovuta picha halisi ya hako kabinti...!!
 
Vitu vidogo kama hivi nawe dada mtu jiongeze...!
Kwani hakuna hata "kahauzi gal" hapo home azindue mnara?!
 
Kuna mtu alikufa alipofika mbinguni akaona saa nyingi za mshale ukutani, akamuuliza malaika hizi za nini ?

Akamwambia hizo zinahesabu dhambi, ikizunguka mara moja dhambi moja

Kulikuwa na saa moja haizunguki akauliza mbona saa moja haizunguki?

Akamwambia ile ni ya nabii Musa hadi anakufa hajawahi kutenda dhambi.

Akauliza saa ya huyu anayesoma hii posti yangu iko wapi?

Akaambiwa iko chumbani kwa Malaika wanaitumia kama FENI MAANA INAVYOZUNGUKA NI BALAA.

Tubu haraka ndugu na kumfanya Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako atakusaidia kuacha dhambi .Muda unaenda kwa Kasi sana madhambi yamekua mengi vifo vinatokea Kila siku watu wanaumwa na kufa mkumbuke Mungu.
 
Hii nchi watu wamekua laini laini sana!
 
Mfanye awe proud na uanaume wake, la sivyo atakuwa james delicious.. sasa kuwa na sauti nzito si ndio safi hiyo.. hapo ni kucheza na akili yake aone hicho ndio kitu kinachomfaa sababu ndio mambo ya kiume
 
njia pekee ni kumpa uhuru wa kuchangamana na vijana wa kiume lika lake 16,17,18 nk kwauangalizi mkubwa.

aende mipirani na kwenye mabanda ya tv kuangalia mipira na movie huko,mwache ajifunze ujana kwa wenzie,watamuelekeza hata namna ya kutongoza,kuvaa vizuri na kujitunza hiyo sio kazi yako dada yake.

asifungiwe ndani kwa kigezo kwamba kila kitu kipo ni makosa makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…