Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

Kwa sisi wana uchumi tunasema hivi $70,000 ni equivalent roughly 150m Tz shilling unauwezo wakupata sehemu kubwa pale postor ukafungua supemarket ya gharama ya 120m ili uzie ma pilot na crew wanao wahi airport na elites wengine kwa siku faida ni 700k to 1m kwa mwezi ni 21m hadi 30m mshahara wa pilot armature ni 2m to 5m kama kabahatika kupata ajira......kwahiyo bora uwekeze hiyo pesa ili usomeshe wanao upilot huo.
Na wanao watapiga hesabu hizo hizo za kuwekeza. The circle goes on ...
 
Hapo utakuta ametafuta kimvuli ili apumzike na jua kali baada ya kuendesha Guta lake toka Mabibo mpaka Kariakoo,
Katika mapumziko yake hayo ndio akaamua achangie JF kidogo kabla ya kuwahisha mzigo kwa tajiri.
😂😂😂😂 Daah sema mkuu una kumbukumbu sana aisee.
Sio mara ya kwanza kuona una refer uzi wa mtu ambaye kaja na mada nyingine 🙌🙌🙌
 
Kwanini hukwenda na Ndege yako huko Lubumbashi?

😀 😀
Nakwendaga nayo papaa...
 
Mkuu ujawahi kujibu swali langu..
We ni pilot au aircraft eng..?
Mkuu sio pilot wala Aircraft Eng...nimefanya kazi kama saidia fundi kwenye meli kubwa kwa muda mrefu ila nilisoma Mechanics kwa level ya kawaida hapo Stellenbosch University...mimi pia nilikua natamani kusoma Urubani mwaka 1999 nililipa Ada ilikua rand 10,000 chuo kimoja hapo Pretoria baadae nikapata kazi nikaona bora nifanye kazi tu kuliko kusoma nianze kutafuta kazi tena...hiyo hela ilikua nyingi sana kipindi hicho hawakurudisha hiyo Ada...
 
Ni Pesa ndefu Peasant's Son's & Daughters hawawezi kulipia HIO elimu ya urubani
Ndio hivyo kama mimi namshauri ikishindikana walau asome huku huku tu bongo aendeshe hutu tundege walau awe amekamilisha ndoto yake kwa sehemu fulani ,hata kama akisema japo kuwa sikuendesha ndege kubwa lakini walau niliitwa pilot
 
Mkuu sio pilot wala Aircraft Eng...nimefanya kazi kama saidia fundi kwenye meli kwa muda mrefu ila nilisoma Mechanics kwa level ya kawaida hapo Stellenbosch University...mimi pia nilikua natamani kusoma Urubani mwaka 1999 nililipa Ada ilikua rand 10,000 chuo kimoja hapo Pretoria baadae nikapata kazi nikaona bora nifanye kazi tu kuliko kusoma nianze kutafuta kazi tena...hiyo hela ilikua nyingi sana kipindi hicho hawakurudisha hiyo Ada...
Sawa mkuu hapo nimekuelewa sana...
Bado upo kitengoni lakini... Yaani matengenezo au kazi nyingine kabisa
 
Nipo kwenye kazi nyingine kabisa ila inahusiana na Engine za magari na magari ya kutoka SA na Parts zake..
Safi sana mkuu...
Mi kina broo wangu yupo dom hapa ni aircraft eng huwa naingia pale likitokea deal la kupiga rangi hvi vindege vidogo vidogo...

Hivo kuna hint huwa napata pata ambazo kwa huku jf naona mkuu upo deep sana ndo mana nikauliza vile 🙏🙏🙏
 
Mimi naenda SA nilikua na dream hiyo na Ada nilitoka nayo Tanzania nilifatilia sana nilipofika pale nikakutana na kazi na wengi wanaofanya kazi hawana hata Elimu kubwa nikaona nijichanganye na kazi sasa hivi nipo na magari haswa ya Kutoka SA au Mashine Tools...
 
Safi mkuu.. maokoto kwanza .
Ila now si upo tz hapa au
...!?
 
Mimi ni Rubani pia.(lakini sija ajiriwa naruka na ndege yangu binafsi)
Kitu cha kwanza amini kwamba unaweza.
Pili ndege ni rahisi kuliko kuendesha Lori.
Mafunzo ni ghali ila kuna njia mbadala....itategemea sehemu ulipo na uwezo wako wafadhili n.k.
1. Afya na utimamu wa akili.
2. Student Pilot license
3. Private Pilot Licence
3. Commercial Pilot License....hapa ndio unaweza kuajiriwa pia kuna vipengele kwa mfano aina ya ndege uliyosomea na masaa ktk Log book
4.Air Transport Pilot License....
Wanaotaka ushauri wachukue kwako.Mimi nina taaluma nao kiasi fulani na ndio maana nimekujua hii ni fani yako.
Ukweli ni kuwa kozi za urubani ni ghali sana na asikudanganye mtu akakutajia kiwango fulani kwamba ndio utafuzu mpaka CPL.
kama unataka upate unafuu na umalize haraka nenda Marekani,sio Afrika kusini.
 
Mimi naenda SA nilikua na dream hiyo na Ada nilitoka nayo Tanzania nilifatilia sana nilipofika pale nikakutana na kazi na wengi wanaofanya kazi hawana hata Elimu kubwa nikaona nijichanganye na kazi sasa hivi nipo na magari haswa ya Kutoka SA au Mashine Tools...
Ada yake mtu anaetaka kusoma urubani akunjue Misimbazi mingapi? Swali la MTEGO
 
Back
Top Bottom