The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hapo utakuta ametafuta kimvuli ili apumzike na jua kali baada ya kuendesha Guta lake toka Mabibo mpaka Kariakoo,Achana nae hyo movies zinamuharibu 😂😂😂
Katika mapumziko yake hayo ndio akaamua achangie JF kidogo kabla ya kuwahisha mzigo kwa tajiri.