Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Taja Ada ni kiasi gani watu watoke kwenye reliMafunzo ni ghali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja Ada ni kiasi gani watu watoke kwenye reliMafunzo ni ghali
Mkuu sasa hivi sijafatilia unajua miaka ya nyuma Ada ya SA ilikua inahusisha Nchi za SADC sasa hivi wametoa tulikua tunalipa kidogo sana ukitaka kusoma chochote toka SA wameamua kufanya biashara kwenye Elimu sijawafatilia zaidi zaidi naulizwa accommodation tu kwa vijana walio tayari kujiunga..Ada yake mtu anaetaka kusoma urubani akunjue Misimbazi mingapi? Swali la MTEGO
Zote ni Computer sema mpaka ndege ndogo itulie wanafanya kazi nyingi kuliko kubwa vitu vichache...Nikajua labda ishu za mitambo kusema hv vidogo ni manual sana kuliko makubwa yale ambayo ni computer mwanzo mwisho
Andika na Ada yake SIO unatoa direction TUNenda bandarini pale kuna chuo cha urubani kinaitwa dmi
Sawa sawa mkuu nimekupata....Zote ni Computer sema mpaka ndege ndogo itulie wanafanya kazi nyingi kuliko kubwa vitu vichache...
Kijana Pilot ni dereva kama dereva wa MwendokasiWakuu nahisi nina kitu.
Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa.
Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii.
Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini? au kuwaje namimi nianze kujipanga.
Zingatia: Ni ndege hizi za mchawi mweupe kama hizi alizoleta magu na sio zile zenu za kuruka usiku tu.
Bei za kujifunza zinatofautiana Dereva mwendo Kasi laki tatu ada wa ndege milioni 160 kiwango Cha chiniKijana Pilot ni dereva kama dereva wa Mwendokasi
Waambie pia hio ni kwa saa moja. Practical. Sasa utahitaji masaa mangapi hadi ufuzu hizo ndege ndogo halafu ukitoka hapo ukasomee mashine kubwa utajua simulator training itacost how much pale airbus France au huki USA boeng.Pitia hii mkuu upate pakuanzia wasikutishe ..
Upo vizri sana...Waambie pia hio ni kwa saa moja. Practical. Sasa utahitaji masaa mangapi hadi ufuzu hizo ndege ndogo halafu ukitoka hapo ukasomee mashine kubwa utajua simulator training itacost how much pale airbus France au huki USA boeng.
Dereva ni derevaBei za kujifunza zinatofautiana Dereva mwendo Kasi laki tatu ada wa ndege milioni 160 kiwango Cha chini
Popote ulipo jua kuwa yako mengi unakuwa unashare hapa haujui ni kiasi gani unanimotivate lakini itoshe kusema wewe ni mpambanaji ninayekukubali sana .Mkuu sio pilot wala Aircraft Eng...nimefanya kazi kama saidia fundi kwenye meli kubwa kwa muda mrefu ila nilisoma Mechanics kwa level ya kawaida hapo Stellenbosch University...mimi pia nilikua natamani kusoma Urubani mwaka 1999 nililipa Ada ilikua rand 10,000 chuo kimoja hapo Pretoria baadae nikapata kazi nikaona bora nifanye kazi tu kuliko kusoma nianze kutafuta kazi tena...hiyo hela ilikua nyingi sana kipindi hicho hawakurudisha hiyo Ada...
Kuna chuo kimoja kiko port AlfredOK SA wana vyuo vingi sana kama mtu ataenda moja kwa moja nadhani gharama zitapungua kidogo...
Mbona Wana majina tofauti Rubani ni yeyote anayeendesha chombo Cha moto hewani kusiko na Ardhi akitumia utaalamu na dira sio kukodoa macho tuDereva ni dereva
Daah aisee madereva tuna tabu hapa...Mbona Wana majina tofauti Rubani ni yeyote anayeendesha chombo Cha moto hewani kusiko na Ardhi akitumia utaalamu na dira sio kukodoa macho tu
Dreva ni muendesha chombo Cha moto ardhini bila kutumia utaalamu wa Hali ya juu Wala dira anaendesha Kwa kukodoa mimacho tu kama mjusi aliyefiwa na mkwewe kuangalia mbele kwenye barabara bila dira yeyote
For sure nilipanga mtoto wangu asomee urubani lakini hapo sitaweza,,ngoja nijichange halafu nijilipue nimtafutie chuo ughaibuni akapambane mwenyewe maana hata akisoma hapa bongo ni shida tu!Mkuu ma rubani wengi wenye CPL ni watoto wa watu wenye uwezo. Sasa hivi wanaongezeka watoto wa kihindi.
ATCL wana uhaba wa marubani jilipue.
Mtoto kutoka kimaisha ni gharama sio lelemamaFor sure nilipanga mtoto wangu asomee urubani lakini hapo sitaweza,,ngoja nijichange halafu nijilipue nimtafutie chuo ughaibuni akapambane mwenyewe maana hata akisoma hapa bongo ni shida tu!