Cha kwanza unapaswa Kujua kuwa aptitude test Iko Kwa ajili ya kutest IQ Yako, accuracy, speed and reasoning ambayo haya yote yanahitajika Kwa namna moja ama nyingine esp kwenye kazi hiyo mliyoomba(baada ya ajira mtajua). Hivyo basi whenever you are doing aptitude test jua inabd uwe makini, sahihi na mwenye haraka ya kujibu maswali kwa ufasaha.
Most of aptitude tests hua Zina verbal, numerical na reasoning ingawa ziko nyingine zina zaidi...kwahiyo kwenye hizi aptitude test tegemea kukuta maswali 100+ Kwa muda wa saa moja au maswali 50 Kwa nusu saa ambayo maswali yote yako kwenye vipengele I mentioned above