Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Tuwekane sawa kwani mwaka jan walitoa numerical, verbal, personality au vocabulary aptitude tukomae napo ila ingekuwa fresh tukacombine ma ideas members
 

Kila la heri..... na mkafanye vyema.Sisi tutatuma vijana wetu,waje wauze barakoa.
 
Natamani nimsaidie mtu kuhusu how to win aptitude test in general
NB: siko Takukuru ila Nina uzoefu wa aptitude test
Huna nia ww, kama unataka kutoa msaada mbona ungeandika t hapa tungefaidika wote.
 
Maelezo yangu ni marefu kidogo kwahiyo mvumilie
 
Cha kwanza unapaswa Kujua kuwa aptitude test Iko Kwa ajili ya kutest IQ Yako, accuracy, speed and reasoning ambayo haya yote yanahitajika Kwa namna moja ama nyingine esp kwenye kazi hiyo mliyoomba(baada ya ajira mtajua). Hivyo basi whenever you are doing aptitude test jua inabd uwe makini, sahihi na mwenye haraka ya kujibu maswali kwa ufasaha.
Most of aptitude tests hua Zina verbal, numerical na reasoning ingawa ziko nyingine zina zaidi...kwahiyo kwenye hizi aptitude test tegemea kukuta maswali 100+ Kwa muda wa saa moja au maswali 50 Kwa nusu saa ambayo maswali yote yako kwenye vipengele I mentioned above
 
So Nini unatakiwa kufanya, Kwa hizi siku za maandilizi unapaswa ufanyie kazi vitu vitatu, speed, accuracy na reasoning na mara nyingi hua wanachagua waliopata marks 70 kwenda juu, hivyo unapaswa kufanya mazoezi ya kutosha Kwa muda mwingi Ili uweze kujipima uwezo wako wa kujibu maswali mengi Kwa haraka na Kwa usahihi
 
I will personally share this book, take your time to do maswali mengi uwezavyo, Kwa kujipimia muda pale unapokosea angalia nyuma uone Nini unapaswa ufanye kwenye hilo swali baada ya kujisahihisha mtihani wako am pretty sure after two days of mazoezi utajiweka kwenye a very good position ya kujibu maswali mengi sana Kwa usahihi na muda mchache
 
Back
Top Bottom