Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Kwa wale ambao mko DSM kuna costa ipo ya kwenda dodoma( Go & return) kwa 45,000 tu. Tutaondoka ijumaa kwa anayehitaji anaweza nichek pm nikampa link ajoin grupu. Nafas bado 7 tu
 
Hivi zile ajira za takukuru mtu wa accounting kama umeitwa inakuaje ?? Na kozi ya accounting haikuwepo pale
 
Hivi leo wote wamefanyiwa usaili,maana ile mvua,mmmh..
 
Back
Top Bottom