Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchunguzi mkuuWw ni mchunguzi au msaidizi ?
Aha sawa sawa ngoja tusikilizieWachunguzi baadhi yao naskia wamesha pokea itakuwa wanatuma kwa awamu
Ngoja subira tuvute subira labda wanatoa kwa awamu kama ikitokea wiki hii imeisha basi kutafuta mapambano tenaAha sawa sawa ngoja tusikilizie
Bado kuna mambo yanaendelea lakini mwezi huu B4 tarehe 15 kila jambo litakuwa bien,tulienii mnywe maji mengi mioyo ieleeNasikia tayari watu wameitwa mafunzoni yakweli haya!??
Yeah ni kwelii aiseee amna namna.Ngoja subira tuvute subira labda wanatoa kwa awamu kama ikitokea wiki hii imeisha basi kutafuta mapambano tena
Kila la kheriWatu wanaripot mda huu Moshi
Wakawe mabalozi wema isiwe wao ndio wa kwanza kuendeleza rushwaKila la kheri