Nafasi 400 za Kazi Kigoma Ujiji, Mshahara Tsh 300,000/=

Mhitim

New Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
3
Reaction score
3
Kigoma is a city and lake port in northwestern Tanzania, on the northeastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 215,458.

Nafasi za kazi za muda
 
Kazi za michongo na kujuana ...

Na alaaniwe aliyeleta hizi kazi mpaka kizazi chake pumbavuu
 
Kila mkoa naona wana namna yao ya kulipa. Wilaya ubungo wao naona wanalipa 30000 kwa siku ndani ya siku 68 za kazi.

Huku wao naona wanalipa laki 3 kwa mwezi na posho ya shilingi 30000 ya vocha
 
Kazi za michongo na kujuana ...

Na alaaniwe aliyeleta hizi kazi mpaka kizazi chake pumbavuu

Hizi kazi huwezi pata kama humjui mtu au sio kada mchanga. Karibu watanzania wengi wana elimu ya form 4. Huko halmashauri watu wako na ndugu zao wengi.
 
Ukiona malipo yanatofautiana jua tayar kuna mfumo wa upigaji umesetiwa,haiwezekani nchi moja malipo tofauti kila mkoa
 
Kumbe kigoma siku hizi ni city?
 
Me nawapongeza wa Mkoa wa Kigoma style yao ya malipo ni nzuri imefanya idadi ya watu wakufanya Kazi iwe kubwa ukilinganisha na mikoa mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…