Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hatima gani,? Au unamanisha zinaamua matokeo.Nafikiri full back 5,6,3sababu hizo namba ndio zinatoa hatima ya mwsho ya timu.
Yaaa zinaamua matokeo
Kipa akiamua kuwakaanga ni dakika moja tuMe nafikiri ni nafasi ya kiungo mkabaji. Imagine unatakiwa ukabe, ufanye interception, ufanye blocking, tackling na bado uanzishe mashambulizi kwenda langoni kwa mpinzani wako. Ukizubaa ndio timu inaelemewa.
Kwa upande wako ni nafasi/namba gani ni ngumu kuicheza kwenye football?

Claudia Makelele ilikuwa 6 ya ukweli sana. Hivi nchini tuna namba 6 gani wa kigeni anayesumbua?Namba za Muhimu Uwanjani zimegawanyika mafungu 3.ABC.
À. 1- 11.
B. 5, 6,8 9,10.
C. Nafasi ngumu Sana Uwanjani ni 6
CDM, DM,
Nambari sita ndio namba ngumu na Nyeti kulikoni zooote Uwanjani.
Kukaba.
Kunusa hatari.
Kulinda back 4.
Kuanzisha mipira.
Kukaver gaps 2,3,4,5.
Kulazimika kumshambulia timu inapopanda juu.
🤣🤣🤣🤣Mateso makali sana wakat huo umeshindwa kula unaona wachezaji wanabadilishana jeziNafasi ya kuwa mshangiliaji ni ngumu sana kuna siku hata kula tunashindwa.