inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mpira wa siku hizi fullbacks Wana shida,zamani viungo hasa 6,8,katikati hapo no 10 alikua na kazi sanaWengi wanasema no 6.sina hakika sana kama mmecheza mpira mnajua mifumo mbali mbali.nimecheza karibu nambaa zote tu 11.
Zote sawa tu inategemea na mfumo mnaotumia, maelewano yaani kujuliana kitimu n.k
Middle hiyo 6 au 8 ukiijulia unainjoi sana ni namba nyepesi tu.