inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mpira wa siku hizi fullbacks Wana shida,zamani viungo hasa 6,8,katikati hapo no 10 alikua na kazi sanaWengi wanasema no 6.sina hakika sana kama mmecheza mpira mnajua mifumo mbali mbali.nimecheza karibu nambaa zote tu 11.
Zote sawa tu inategemea na mfumo mnaotumia, maelewano yaani kujuliana kitimu n.k
Middle hiyo 6 au 8 ukiijulia unainjoi sana ni namba nyepesi tu.
Sio timu zote zinatumia double pivotSiku hizi kuna double pivot
Kwa mujibu wa Modern footballFabregas,wilshere,mcOcran,gerald
Mpaka unacheza hiyo nafasi automatic hivyo vitu vinakuwa rahisi kwako.ukiona kitu chochote ni kigumu jua hakiko kwa ajili yako.suala la kushindwa kufunga , kupenya ngome n.k hutegemea ubora au mipango ya timu pinzani siku hiyo.Nafasi ngumu ni centre forward haswa ukisimama kwenye majukumu ya striker ambapo watu wanahitaji magoli kutoka kwako
[emoji117]chukua hii [emoji116]
kila striker anaweza kua CF ila sio kila CF anaweza kua striker
[emoji115]rudia mara tatu unielewe
maana striker ni special tools ambazo sio kila mchezaji anaweza kua nazo ndo maana dunia ya soka inahangaika sokoni kupata hao watu na ukimpata ni gharama
[emoji115]ugumu wa iyo nafasi ni kwamba unapoitumikia una unalipa mgongo goli la timu pinzani na ukipokea mpira unatakiwa ku turn haraka
izo mbio unapoelekea kuna vigingi vya CB na bado kuna kipa na unatakiwa kutikisa wavu
lakini kama haitoshi una kazi ya ku create chances panapowezekana ikiwa wenzio wapo kwenye maeno sahihi
ugumu kisaikolojia [emoji116]
ukishidwa kuwapa watu kitu walichotaraji unaanza kuandamwa na kuoneka hufai yani ww ndio tatizo la timu
Viingereza vya nini nasi tu watanganyika!!.. football hubadilika,back four ilibuniwa na wabrazil,siku hizi Kuna back 3Kwa mujibu wa Modern football
System matters and anything can be done anywhere on the pitch ndio hushangai mbunifu Liverpool ni TAA
But origin of Creativity in football is role 10 where is always on the zone number 14
These were hardly made but burn naturally with such character
Ever since the modern football deprived such role it has never been able to deprive players with extraordinary talent ie GOAT is always Messi up to now and creative Art is a joy to watch
Wengi wanasema no 6.sina hakika sana kama mmecheza mpira mnajua mifumo mbali mbali.nimecheza karibu nambaa zote tu 11.
Zote sawa tu inategemea na mfumo mnaotumia, maelewano yaani kujuliana kitimu n.k
Middle hiyo 6 au 8 ukiijulia unainjoi sana ni namba nyepesi tu.
Nimewahi kucheza 6 na 8 , sita ni ngumu na haina furaha uwanjani maana wewe ni kukaba na kupiga pasi tu.Namba 6 ni kazi ngumu sana
Classical number 9. Unatakiwa uwe makini sana kujiposition, mpira unaweza kuisha halafu kuna middle ana hattrick wewe uko bila.
Nimewahi kucheza 6 na 8 , sita ni ngumu na haina furaha uwanjani maana wewe ni kukaba na kupiga pasi tu.
Ila namba ngumu niliona ni 5. Namba 5 akiwa dhaifu mnafungwa sana.
Na namba 5 wengi huwa ma captain kwa mpira tuliocheza miaka hiyo.
Mchezaji wa 13 huyuNafasi ya kuwa mshangiliaji ni ngumu sana kuna siku hata kula tunashindwa.
mshambuliaji na kiungo mchezeshaji .Me nafikiri ni nafasi ya kiungo mkabaji. Imagine unatakiwa ukabe, ufanye interception, ufanye blocking, tackling na bado uanzishe mashambulizi kwenda langoni kwa mpinzani wako. Ukizubaa ndio timu inaelemewa.
Kwa upande wako ni nafasi/namba gani ni ngumu kuicheza kwenye football?
Namba inayocheza nje ya uwanjaMchezaji wa 13 huyu