Vita dhidiyaujinga
JF-Expert Member
- May 15, 2026
- 279
- 385
Ukipata changamoto ya kuomba kama kusahau password, email nk tuwasiliane kwa 0792715343
Zina wenyeweUkipata changamoto ya kuomba kama kusahau password, email nk tuwasiliane kwa 0792715343
View attachment 3636365
Ukiwaambua wanafanya deletion ya level husikaNatamani kutumia diploma yangu kuomba nafasi zinazotangazwa kinachotokea hapa siwezi tena Account ina vyeti vingine,utaratibu mgumu sana wa utumishi,msaada ndugu zangu,
nitajaribu tena niliwatumia email sikupata majibuUkiwaambua wanafanya deletion ya level husika
UliyatimbaNatamani kutumia diploma yangu kuomba nafasi zinazotangazwa kinachotokea hapa siwezi tena Account ina vyeti vingine,utaratibu mgumu sana wa utumishi,msaada ndugu zangu,
kinoma noma nipo taabani sana mkuu.Uliyatimba
Hawajibu baruapepe labda owafuate au umtime mtu ofisini kwao Dar au dodoma.nitajaribu tena niliwatumia email sikupata majibu
Asante sana mkuuHawajibu baruapepe labda owafuate au umtime mtu ofisini kwao Dar au dodoma.
Wameweka chaguo la kufuta cheti, jaribu kuomba wafuteAsante sana mkuu
Nimeona mkuu baadhi vimekubali kuna kimoja wanasema nilishawahi kuwa Shortlisted kupitie cheti iko so kimegoma kutoka.Wameweka chaguo la kufuta cheti, jaribu kuomba wafute