Kama watu walinunuliwa itashndkanaje Hilo?Mnapata wapi nguvu ya kuamini kuwa wale “wahuni” 19 walishinikizwa kufanya kile walichokifanya?? [emoji23][emoji23] eti na mtutu wa bunduki, nyieeee [emoji28][emoji28] wale ni wahuni wafia matumbo yao.
Ww ni aina ya watu wanaosababisha hii nchi ishindwe kupiga hatuaas long as they aint put food on my table ainihusu
ha ha mzee mm napambania plate yangu na life yangu inasonga mkuu am enjoyingWw ni aina ya watu wanaosababisha hii nchi ishindwe kupiga hatua