Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Utakuja kuamini haya ukiwa umeshachelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tabia ya kusema tafuta hela sipendi.Tafuta hela wewe
Masikini ndio hufikiria upuuzi km wako na kuwaona matajiri kama mashetani na wapinga kristo
Hiyo ndiyo plan yao. Kwanza wanadamu wapunguzwe hadi 500,000,000. Kisha wanaobakia watu wafuatiliwe kwa surveilance saa 24 na wakusanywe kwenye camps eti ili kulinda mazingira. Ni mawazo ambayo mtu akiyasikia atasema: hakuna mtu atakayeamua kufanya hayo. But they are dead serious.According to WEF video, Inamaana few years to come, tutakuwa tunakula wadudu ( bugs 🐛🐛)?!
Tafuta pesa na hakikisha unaboresha maisha yako na familia yako badala ya ku waste time na hizo theories.As individuals, kwanza kabisa tujaribu kutafuta taarifa zaidi juu ya kila kitu na sio kuamini tu. Hata haya ya kwangu niliyoandika ni muhimu mtu kujiridhisha badala ya kuamini tu. Kama taifa pia natamani tungefanya vivyo hivyo. Kusema kweli KABISA, kama tungesimama na falsafa ya Magufuli - ya kujiamini, ya kujilinda na ya kuthubutu (ukiacha mapungufu yake kama binadamu) - litakuwa ni jambo kubwa sana.
Wewe ndio unajifanya kichwa hujasoma post #23 eti.Tafuta pesa na hakikisha unaboresha maisha yako na familia yako badala ya ku waste time na hizo theories.
Simu na vocha nimenunua kwa mavuzi?Tafuta hela wewe
Masikini ndio hufikiria upuuzi km wako na kuwaona matajiri kama mashetani na wapinga kristo
Basi nadhani vifo vinavyotokana na COVID-19 ndiyo unyakuo wenyewe kwa sababu, baada ya hapowatakaobaki duniani watakuwa tayari wameshapigwa chapa ( programmed) ambayo ndiyo ushetani wenyewe huoHiyo ndiyo plan yao. Kwanza wanadamu wapunguzwe hadi 500,000,000. Kisha wanaobakia watu wafuatiliwe kwa surveilance saa 24 na wakusanywe kwenye camps eti ili kulinda mazingira. Ni mawazo ambayo mtu akiyasikia atasema: hakuna mtu atakayeamua kufanya hayo. But they are dead serious.
Unyakuo ni tofauti kwa sababu huo ni wa ghafla na ni kwa kanisa lote la Yesu dunianiBasi nadhani vifo vinavyotokana na COVID-19 ndiyo unyakuo wenyewe kwa sababu, baada ya hapowatakaobaki duniani watakuwa tayari wameshapigwa chapa ( programmed) ambayo ndiyo ushetani wenyewe huo
Huyu mtoa uzi na wale waliotuambia Y2K Ni mwisho wa Dunia ni Ndugu.Patent WO / 2020/060606 imetengenezwa na Microsoft Technology Licensing LLC
………
Jina la patent hii kama unavyoona hapo juu ni: “Cryptocurrency system using body activity data"
- Microsoft ni ya bill gate, au sio?
- WO = World Order (yaani New World Order)
- 2020 = ni patent iliyosajiliwa mwaka jana WIPO (World Intellectual Property Organisation)
- 060606 = namba ya patent (666??? - tafakari)
Maana yake ni kuwa huu ni mfumo wa fedha wa kidijitali usiotumia sarafu wala noti tulizozaliwa tukazikuta hadi leo. Ni mfumo unaotumia data zinazotokana na shughuli za mwili.
Kwa maneno mengine, ili ulipwe lazima mfumo upate taarifa toka KWENYE MWILI WAKO kwamba kazi uliyopewa umeifanya KIKAMILIFU.
Shughuli za mwili ni kama zipi?
Ukiingia kwenye link ya documents, hapa:
Utaona documents zinazotoa ufafanuzi mbalimbali. Mojawapo inaitwa: Application body as filed. Ukurasa wa 1-2 (nimeunganisha) zinasema hivi:
Inataja shughuli hizo ni pamoja na:
Kwa hiyo, sensor zikituma taarifa kwamba umetimiza ulichotumwa, pesa inaingizwa kwenye akaunti yako. Kumbuka, pesa hiyo sio noti wala sarafu.
- Brain waves – mawimbi ya ubongo
- Body heat – joto la mwili
Sijui kama uliona post yangu inayohusu video ya World Economic Forum inayosema HUTAMILIKI CHOCHOTE LAKINI UTAKUWA NA FURAHA; ILA UTAFUNGIWA MAHALI NA UTAKUWA UNAFUATILIWA 24/7. (Bofya hapa uisome: Malengo maovu ya wakubwa wa dunia ) – Ndio maana kila mwisho wa post nakwambia “Connect the dots” Usiangalie jambo moja ukaishia kuona hilohilo.
Turudi kwa Geti.
Sasa mwili utatumaje taarifa? Na pesa zitakuwa wapi?
Mkuu wa World Economic Forum ameandika kitabu mwaka jana kinahoitwa: Covid 19: The Great Reset. Kwenye utangulizi anasema:
At the time of writing (June 2020), the pandemic continues to worsen globally. Many of us are pondering when things will return to normal. The short response is: never.Kwamba wengi wanadhani kuwa baada ya korona, tutarudia hali ya zamani. Jibu fupi ni kuwa: sahau.
Kwa hiyo tunakoelekea ni wapi?
Katika kitabu chake Fourth Industrial Revolution uk 12 Schwab anasema hivi:
Maendeleo ya viwanda ya nne ni kuunganisha physical (mfano simu), digital (mfano internet) na biological (mfano mwili).
Hapo ndipo tunapata Internet of Bodies (IoB) – Soma zaidi hapa: The Internet of Bodies is here. This is how it will change our lives
Kumbuka kwenye post nyingine nilikueleza kuwa Bill Gate anashirikiana na WHO ambapo yenye ni mtoaji pesa; anashirikiana na GAVI, na hapo pia amewekeza na bi board member – Connect the dots.
Je, ni wapi ambako wamejikita zaidi hawa watu (geti na gavi) kusambaza hizo chanjo zao kwa sasa? Tazama ramani hii utapata jibu:
HITIMISHO
…………….
- Iko siku utawekewa sensors ndani ya mwili wako.
- Iko siku sarafu na noti zote zitaondolewa ibaki cryptocurrency.
- Utalipwa cryptocurrency pale tu utakapofanya kazi uliyopangiwa.
- Pesa hizo zitakuwa mwilini mwako maana tayari wewe utakuwa sehemu ya Internet of Bodies (IoB)
- Kile kitakachoingizwa mwilini mwako kitakumiliki HADI MAWAZO YAKO.
- Uhuru na utashi na uwewe wako utakuwa ndio umefika MWISHO.
- Utakuwa ni MTUMWA wa wakubwa wa dunia.
NAONGEA KANA KWAMBA NI FUTURE TENSE, BUT IS IT?
Connect the dots.
Katika yote utendayo, MKUMBUKE MUNGU.
UFUNUO 13 IS HERE ALREADY.
Karibu FearlessFighter , Zeus1 , Ndalilo
PATENT WO2020060606 INAPATIKANA HPA:
WO2020060606 CRYPTOCURRENCY SYSTEM USING BODY ACTIVITY DATA
Kanisa lilishanyakuliwa bwashee!Katika Swala unyakuo, Kuna school of thought tatu:
1. Unyakuo utakuja kabla ya dhiki kuu
2. Unyakuo utakuja baada ya dhiki kuu
3. Unyakuo utakuja katika ya dhiki kuu. Je wewe Teleskopu unaamini ipi.
Je kwa maoni yako, COVID-19 ndiyo dhiki kuu yenyewe?!
😳😳😳😳😳😳😳😳😳Kanisa lilishanyakuliwa bwashee!
Mpaka huwa nahisi, waliotutangulia mbele ya haki na Covid-19 ndio wamepata zari la unyakuo [emoji38][emoji38][emoji38]Kanisa lilishanyakuliwa bwashee!