Verification ni namna mambo yanavyoenda mkuu. Jiweke tu kwenye position ya miaka 2000 zamani ambapo jamii ya dunia ilikuwa kwenye rudimentary stage kwelikweli - hakuna simu, hakuna redio, hakuna telescope, hakuna viwanda vikubwa, hakuna injini - lakini mtu mmoja kutoka Galilaya akaandika kwamba
Ufunuo 13.16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao; 13.17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.---------------- mambo ambayo tunaona yanaiva 2000 years later, ambapo akina bill gate wanafanya haya.