Nafasi ya Bill Gates na sekeseke linaloendelea duniani

According to WEF video, Inamaana few years to come, tutakuwa tunakula wadudu ( bugs 🐛🐛)?!
Hiyo ndiyo plan yao. Kwanza wanadamu wapunguzwe hadi 500,000,000. Kisha wanaobakia watu wafuatiliwe kwa surveilance saa 24 na wakusanywe kwenye camps eti ili kulinda mazingira. Ni mawazo ambayo mtu akiyasikia atasema: hakuna mtu atakayeamua kufanya hayo. But they are dead serious.
 
Tafuta pesa na hakikisha unaboresha maisha yako na familia yako badala ya ku waste time na hizo theories.
 
Basi nadhani vifo vinavyotokana na COVID-19 ndiyo unyakuo wenyewe kwa sababu, baada ya hapowatakaobaki duniani watakuwa tayari wameshapigwa chapa ( programmed) ambayo ndiyo ushetani wenyewe huo
 
Basi nadhani vifo vinavyotokana na COVID-19 ndiyo unyakuo wenyewe kwa sababu, baada ya hapowatakaobaki duniani watakuwa tayari wameshapigwa chapa ( programmed) ambayo ndiyo ushetani wenyewe huo
Unyakuo ni tofauti kwa sababu huo ni wa ghafla na ni kwa kanisa lote la Yesu duniani
 
Kuna wale wasiopenda kudadisi mambo haya povu litawatoka na kuanza kusema ni upotoshaji kama kwenye sakata la corona linavyoichezesha dunia kwata, mada ina dadavua mipango ovu inayopangwa na wenye dunia
 
Huyu mtoa uzi na wale waliotuambia Y2K Ni mwisho wa Dunia ni Ndugu.

Kuingia mwaka 2000 walinifanya nikeshe Kanisani nikisubiria unyakuo wa kwenda mbinguni. Miaka 20+ imekata bado tupo Duniani.
 
Katika Swala unyakuo, Kuna school of thought tatu:
1. Unyakuo utakuja kabla ya dhiki kuu
2. Unyakuo utakuja baada ya dhiki kuu
3. Unyakuo utakuja katika ya dhiki kuu. Je wewe Teleskopu unaamini ipi.

Je kwa maoni yako, COVID-19 ndiyo dhiki kuu yenyewe?!
 
Kanisa lilishanyakuliwa bwashee!
 
Woga wa teknolojia tu huo.hata saiv bado ni watumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…