Nafasi ya Bill Gates na sekeseke linaloendelea duniani

Magufuli atakumbukwa kwa hili wazungu washenzi sana
 
Hatari
 
Huyu mtoa uzi na wale waliotuambia Y2K Ni mwisho wa Dunia ni Ndugu.

Kuingia mwaka 2000 walinifanya nikeshe Kanisani nikisubiria unyakuo wa kwenda mbinguni. Miaka 20+ imekata bado tupo Duniani.
Kwani mtoa uzi amekuambia Kuna mwisho wa Dunia?
 
Tuendelee kula ugali tu sisi huku Afrika hata internet yenye Kasi ya 4G tu Bado ni shida kwenye maeneo mengi
Kiufupi hiyo ni vita ya kibiashara ya wenyewe Kwa wenyewe hata usipate taabu kuumiza kichwa Kwa hizo mambo maana hii Dunia ukiona kitu Hadi wewe wa huku namtumbo umekijua ujue kimekuwa verified hakina madhara
NWO haipo Kama mnavyoifiria Kwa hizo nadharia sababu hii Dunia unayoyasikia na kuyaona Toka huko sio yanayotendwa tunazugwa tu
na itabaki kua Siri mbaka watakapo iverify muda wake wa matumizi ukiisha!
 
Shukrani sana Teleskopu. Ulipo ulimwengu kwa sasa na kule unakoelekea, ni dhahiri tutakuja kujilaumu kurusu chama kuchezea nchi badala ya kufanya mambo ya msingi kwa miaka 60 sasa!

Utu wetu utanyanyasika kwakuwa hatuna maamuzi, tunakosa maamuzi kwakuwa hatuna uwezo wa kifedha, kisayansi na kiteknolojia, na hatuna vyote hivyo kwasababu ya ubinafsi na ulafi. Maendeleo hayawezi kuwa ya mtu au vitu tu, fikra huru na uzalendo ni maendeleo makubwa katika taifa lolote.

Taifa lenye watu wanaojivunia safari za Dubai kama alama ya mafanikio ni hatari kwa ustawi wake.
 
Mkuu Chadema nao wanasisitiza chanjo mkuu sasa siju unazungumziaje chama kipi
 
Kuna nadharia za kisayansi na kuna religious belief (mfano pale Revelation 13 inapokuwa quoted). These two things never agree each other sababu belief cannot be proved but science does.

Katika search of information ambayo iko vastly available sababu ya internet, ni muhimu pia kujua information mtu anazosoma na kuzitafsiri yeye mwenyewe basi asitoke nje ya mstari na kufanya unrealistic assumptions and predictions
 
dunia iko connected. ukiamua kuacha ni wewe tu lakini ni sawa na msemo wa mbuni kuficha kichwa mchangani mkuu. Utajifariji kwa kuwa huoni, kumbe wenzio wanakuona na wanakutenda ya kutenda.
kausha man usiniongezee mawazo
 
"......belief cannot be proved but science does."
Hapana. Belief ni kitu ambacho kimeshakuwa proved na baadhi ya wale wanaokiamini, ila si kwa kutumia njia zinazotumiwa na empirical sayansi; ambayo yenyewe huwa inatunia njia zinazoonekana kwa macho na kushikika kwa mikono.
Ukiona kitu kinaitwa belief jua kuwa kuna watu ambao wameshakithibitisha kuwa kiko hivyo. Vinginevyo kama hakuna mtu ambaye amewahi kukithibistisha, basi hiyo inakuwa siyo belief bali "RUMOURS"
 

Mkuu unadhani logo kama hizi kwenye dola ya kimarekani imewekwa hapo bahati mbaya? haya mambo ni mazito hii dunia inaendeshwa tofauti na wengi tunavyo fikiri tunaongozwa na tusio waona wakiwa na malengo yao.
 
Mmmmmhhh mwisho wa siku kila mtu atakufa
 
Tutasimamaje na falsafa ya Magufuli wakati maandiko uliyonukuu yamegongelea msumari kwamba huu mkakati wa wakubwa hamna mwenye uwezo wa kupinga na ni lazima huu mkakati utimie?

Kama unayaamini maandiko, basi tambua hizi ni nyakati za watu kutambulika kama device tu na hakuna upenyo... Ila kama ni mgumumgumu kama mimi mambo kama haya tunayachukulia ni maendeleo ya kizazi kipya.
 


Point yako ni ya msingi Kijana wa jana Kama umesoma post yangu hadi mwisho nimesema USIMSAHAU MUNGU. Hii post sijaiweka in a purely religious way. Lakini ni kweli ultimate solution ni Mungu.
 
View attachment 1928989
Mkuu unadhani logo kama hizi kwenye dola ya kimarekani imewekwa hapo bahati mbaya? haya mambo ni mazito hii dunia inaendeshwa tofauti na wengi tunavyo fikiri tunaongozwa na tusio waona wakiwa na malengo yao.
Ni kweli Kuna ajenda nyingi za Siri Sana kuihusu hii Dunia na waliipewa maarifa hayo ni kundi dogo Sana,wao wananiita Brotherhood na Wana bloodline Yao ya kipekee na wamepewa nguvu ya kuiendesha Dunia Kwa style wanayoitaka na sisi huku hatuna ubavu wa kuwapinga Kwa sababu tunaishi chini ya mfumo wao
Wa Elimu,Sayansi na teknologia, Dini,utamaduni,Sanaa,
michezo nk na
Haya mambo yalianza kitambo Sana tokea kuzaliwa Kwa human civilization hapa Duniani baada ya viumbe wa Kidrako kutoka anga za juu kuja duniani kupandikiza uhai na kuchukua malighafi utakaowawezesha kusurvive kwenye Sayari zao!
Kwahiyo haya mambo yapo Toka kale sana na hua yanakuja Kwa awamu na kupotea!
 
Nini kifanyike sasa ili kutatua hilo tatizo? au tusubiri kufa tu?
 
Nini kifanyike sasa ili kutatua hilo tatizo? au tusubiri kufa tu?
Wazungu wenyewe wanasema death favours no man kwahiyo kama hizi myths zinaweza kuwa na ukweli wowote basi ata wao hawako salama.

We will all get lost kwahiyo apatakuepo mwenye faida wala hasara coz we will all perish man!but guess what! time will tell.
 
Suala la Revelation 13 ni belief. Inaweza kuwa verified vipi?
 
Suala la Revelation 13 ni belief. Inaweza kuwa verified vipi?
Verification ni namna mambo yanavyoenda mkuu. Jiweke tu kwenye position ya miaka 2000 zamani ambapo jamii ya dunia ilikuwa kwenye rudimentary stage kwelikweli - hakuna simu, hakuna redio, hakuna telescope, hakuna viwanda vikubwa, hakuna injini - lakini mtu mmoja kutoka Galilaya akaandika kwamba
Ufunuo 13.16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao; 13.17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.---------------- mambo ambayo tunaona yanaiva 2000 years later, ambapo akina bill gate wanafanya haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…