Nafasi ya Bill Gates na sekeseke linaloendelea duniani

Nini kifanyike sasa ili kutatua hilo tatizo? au tusubiri kufa tu?
Kuna majibu mawili --- kama wanadamu, tunatakiwa kuijua na kisha kuikataa mipango ya globalists. Kukataa haimaanishi lazima ushinde, lakini ni heri kushindwa huku ukikataa kukubaliana na uovu kuliko kutega shingo kwa mtu mwovu aliyekusudia kukuangamiza. Ukishatambua kuwa jambo hili si ajenda ya afya bali ni mbinu za globalists, hutakubali. ----------- Lakini kama wafu watarajiwa, mbele yetu tunakabiliwa na MILELE (ETERNITY). Maandiko yameonya kuhusu nyakati hizi na kutuambia nini tufanye. Tukikataa, yaliyo ng'ambo yam mauti sote tunayajua.
 
Mkuu sipingani na wewe lakini tafsiri ya Revelation 13 nadhani ndio ninachosema imekaa kiimani zaidi kuliko realization in physical forms.

Maana hapa ni nadharia sawa na za askofu mmoja aliyepata u maarufu hivi karibuni sababu anaamini katika uelekeo huo.
Ni kweli prophecy itakuwa fulfilled lakini it’s questionable kuiweka katika muktadha wa what we see now and try to predict what is likely to come next and in the future, relatively.
 
Suala la Revelation 13 ni belief. Inaweza kuwa verified vipi?
Kwani belief zingine huwa zinakuwa verified vipi? Unless kama unasema kuwa belief haziwezi kuwa verified.
Nielewe hapa nimesema kuwa, belief zinaweza kuwa verified ila si kwa njia ile ambayo sayansi ya kawaida huwa inatumia
 
Umewahi jiuliza kwanini zinaitwa 'conspiracy theories?'
Cause any one can make up that shit...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…