Nafasi ya John Komba imezibwa na wasanii zaidi ya 100 kuhamasisha uchaguzi CCM

Nafasi ya John Komba imezibwa na wasanii zaidi ya 100 kuhamasisha uchaguzi CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli msanii John Komba rip mchango wake ndani ya CCM katika siasa na nyimbo za uhamasishaji hautasahaulika.

Nimewafuatilia waimbaji wa sasa zaidi ya 100 bado sijamuona wa kuvaa viatu vyake japo kuwa Mrisho Mpoto anajitahidi.

Kazi iliyokuwa inafanywa na Komba sasa inafanywa na wasanii wa nchi nzima.

Mungu amlaze mahali pema peponi John Komba

Maendeleo hayana vyama!
 
Komba alikua anatoa kitu kinakua wimbo wataifa, watapata tabu sana
 
mrisho mpoto kipindi anaanza muziki enzi za kikwete alitoka kama mwanamziki mwanaharakati, akamuita kikwete mjomba, nyimbo zake zilikuwa za kuwaambia watanzania wajifunge mkanda kiunoni, leo kiko wapi, ni kindakindaki na walio mamlakani,
 
Utalia sana mwananyumbu wewe kwani ccm ni chama dume
 
Komba RIP ile nyimbo ya "CCM mbelembele" na zingine nyingi zilikuwa zinahamasisha hasa kuzisikiliza hakika CCM imepoteza mwamba...
 
Alafu uchaguz ukiisha show zao wakifanya watakuwa wanaenda wenyewe
Wamejitengenezea zangwe wenyewe

Ova
 
Takukuru wako wapi mgombea wa ccm ameanza kutoa rushwa wazi
Takukuru ipo mfukoni mwake,alafu wanajifanya kutuchezea mazingaombwe ya watia nia wakigawa pipi na kujifanya imewakamata na haiwafikishi mahakamani,huku ikiwaogopa kina Kigwangala .
 
Huwa Sina unafiq wa kijinga, kusema kweli kifo Cha mwanaCCM yoyote huwa naona sawa tu.


Rest In Hell Komba.
 
Back
Top Bottom