Nafasi ya John Komba imezibwa na wasanii zaidi ya 100 kuhamasisha uchaguzi CCM

Nafasi ya John Komba imezibwa na wasanii zaidi ya 100 kuhamasisha uchaguzi CCM

Ndio maana kapotea kisanii
mrisho mpoto kipindi anaanza muziki enzi za kikwete alitoka kama mwanamziki mwanaharakati, akamuita kikwete mjomba, nyimbo zake zilikuwa za kuwaambia watanzania wajifunge mkanda kiunoni, leo kiko wapi, ni kindakindaki na walio mamlakani,
 
Yale mambo aliyokuwa anayomlaum kikwete Leo yamekwisha?
mrisho mpoto kipindi anaanza muziki enzi za kikwete alitoka kama mwanamziki mwanaharakati, akamuita kikwete mjomba, nyimbo zake zilikuwa za kuwaambia watanzania wajifunge mkanda kiunoni, leo kiko wapi, ni kindakindaki na walio mamlakani,
 
Hapana sijawahi ona CCM wametoa wimbo uliobamba kama Jogoo limeshawika dodoma,nambari waneee eheem,acha waisome namba etc wengi wanaimba cover za komba tu!!
Hahahaaaa....... Komba tangu anafundisha shule alipenda sana kuwaimbia wanafunzi!
 
Nyimbo za komba watanzania wote tulizipenda.

Haikujalisha uwe mpinzani ama nani.

Zitumike tu kwa kuzipiga,apatikane DJ mkali wa kuziplay..
 
Nyimbo za komba zilikua zinasifia chama kuliko MTU ndiomaana zimeishi miaka mingi.
 
Kiukweli nyimbo nyingi za hawa wasanii kumsifia JPM nyingi zinaboa, hazina Sanaa, wapo baadhi wachache kama Zuchu wanaimba vizuri ila wengine uhuni tu na njaa.
 
COSATA Imesota Sana
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
😀😁😂😅😄😃😃🤣
 
Back
Top Bottom