Nafasi ya kazi, anahitajika minning engineer haraka sana.

Nafasi ya kazi, anahitajika minning engineer haraka sana.

Taarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga.

Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
Mkuu pm imefungwa naomba ufungue tafadhali
 
Karibuni pm itakuwa iko wazi nimeshafanya settings.
 
Taarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga.

Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
Mkuu Madini Gani Mimi Niko Vzurii Sana Kwenye Utafutaji wa Almasi (Diamond) na Dhahabu.. Nimechimba Xana.

Unaweza Kunitumia kama Consultant.

Sitaweza Kufanya Kazi, Kwasasa naweza Kutoa ushauri, Nimebanana na Masomo Yangu Ya Udaktari. ( Medical School).

Kwa Maelezo Zaidi Tuwasiliane.
Asante Kwa Muda Wako.
 
Fibonacci njoo huku umalizane na jamaa
Huyo nimeona thread yake anatafuta hiyo ajira lakini namba ya simu aliyoweka nimepiga sana haipatikani.
Mwenye bahati take na kuwa sharp ndio atakula shavu.

Mkuu Madini Gani Mimi Niko Vzurii Sana Kwenye Utafutaji wa Almasi (Diamond) na Dhahabu.. Nimechimba Xana.

Unaweza Kunitumia kama Consultant.

Sitaweza Kufanya Kazi, Kwasasa naweza Kutoa ushauri, Nimebanana na Masomo Yangu Ya Udaktari. ( Medical School).

Kwa Maelezo Zaidi Tuwasiliane.
Asante Kwa Muda Wako.
Kwa Sasa vacancy in hiyo post moja tu ya mining Engineer.
 
Back
Top Bottom